Uchaguzi 2020 TEF yamaliza Mgogoro wa TBC na CHADEMA, wapeana Mkono


Haya TBC tunawaangalia kama angalizo hili mtalitekeleza bila kujali serikali ya CCM inawaambia nini.
 
Nawapongeza sana TEF kwa jitihada zao na kutambua umuhimu wa uhirikiano baina vyama vya upinzani na media hasa TBC.

Vinginevyo ni jambo jema kwamba mkurugenzi wa TBC ameyaona mapungufu yao.
Ni habari njema.
 
Sasa wale "masalakumbwete" wa Pwani waliotoa tamko la kutoandika habari za Chadema itakuaje!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…