Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Hata TBC kibiashara siyo nzuri. Kwa kuwapa muda vyama vya siasa kunadi sera zao wataonngeza mapato kwenye matangzo ya biashara.Katika hili aliyekua anaumia ni cdm wala sio TBC. Ndio maana cdm wameenda kuomba poo. Nimechukia Sana.