Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Hata TBC kibiashara siyo nzuri. Kwa kuwapa muda vyama vya siasa kunadi sera zao wataonngeza mapato kwenye matangzo ya biashara.Katika hili aliyekua anaumia ni cdm wala sio TBC. Ndio maana cdm wameenda kuomba poo. Nimechukia Sana.
Hata TBC kibiashara siyo nzuri. Kwa kuwapa muda vyama vya siasa kunadi sera zao wataonngeza mapato kwenye matangzo ya biashara
Leo mumekwenda kufanya nini?.Wacha uzumbukuku wewe gamba, tangu lini cdm imeomba msaada wa li tbc lenu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakirudia upuuzi tunafukuza tena
Mbowe kashaamua sasa, wewe kidagaa tu hapo chadema huna maamuzi yeyoteKwanza CHADEMA haina haja ya kurushiwa matangazo na hao wana CCM.
Ati TBC ina haribiwa taswira ambayo ni gharama kuurudisha. Hivi Tbc wana wateja kwa sasa zaudi ya Ccm? Yaani hata Chadema wakpeleka ranfazo Tbc halutavwafikia walengwa maana hatuangalii TbcWamemalizaje?TBC wanapaswa kujirekebisha,vinginevyo yatajirudia na yatawakumba makubwa zaidi
Mbowe ndip huyo kaenda kwenye meza ya mazungumzo wakati nyie mlisema hamtaki!Wakirudia upuuzi tunafukuza tena
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa wale "masalakumbwete" wa Pwani waliotoa tamko la kutoandika habari za Chadema itakuaje!!?
Asante Papushi.Wewe ni mbwa
Hivi umesoma kilichoandikwa au unakuja kuropoka na nyege mshindo
Wakiongea ujinga tunakata tena! No way!Does this mean TBC hawatokata tena sauti au/na kuondoa picha hewani pale mwanachadema anapokuwa anarusha nondo live jukwaani?
Aliye itisha hicho kikao siyo cdm, wacha kuwa debe tupuLeo mumekwenda kufanya nini?.