Uchaguzi 2020 TEF yamaliza Mgogoro wa TBC na CHADEMA, wapeana Mkono

Naona CDM wamesalimu amri kudadeki hadi wamekalishwa kwenye meza ya maridhiano.
 
Chadema wameona wanafutika, Lissu sijui Nani alimdanganya kuwa habari zake zitakuwa mwenye WhatsApp
 
Huu mgogoro ulikuwa unawanufaisha chadema na kuwadhoofisha tbc na ccm, maana ccm inahitaji kuwafikia wanachama wa chadema kupitia tbc, lakini chadema tbc haiwezi ata kwa vipi kuwapaisha, watajua tu namna ya kuwaonyesh kuwa dhaifu ata kama wamekubal kuwa fair
 
Kwanza CHADEMA haina haja ya kurushiwa matangazo na hao wana CCM.
Haina haja ya kuwarushia matangazo? Hiyi jeuri mnaitoa wapi? wakati hata online Media hamna imeparalyse , kila siku mnakilalamikia kitengo chenu cha habari hapa
 
Nisamehe mtani!! Ila mwaka huu tunawagegeda wakavu wakavu! Mkijidai kuiba kura tunaingiza raia barabarani maana mwaka huu hatukubaki kuibiwa kiboya!
Wanachadema wana nguvu nyuma ya keyboards tuu..... wataongeaaa, watatukana, watatishia, watajiapiza kufanya mambo hahaha sasa subiri utekelezaje

Ndio utajua hili ni kundi la wasanii. Nani mjinga akubali kujitoa sadaka kwa kuvunja sheria za nchi
 
Kanawe miguu ulale wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina haja ya kuwarushia matangazo? Hiyi jeuri mnaitoa wapi? wakati hata online Media hamna imeparalyse , kila siku mnakilalamikia kitengo chenu cha habari hapa
Mkuu inawezekana onlinemedia yao iko vizuri ila tatizo ni ni mapokezi na idadi ya watu wanaohudhuria katika mikutano yao.
 
Tbc itakua wameona habari zakurusha mgombea wa ccm tu hazina hamsha hamsha imewabidi wajisogeze tena cdm angalau wasikike.
nyie ni weupe sana! kelel zote sjui tunawapa dakika 15 mwisho wa reli lazima ushuke
 
Wanachadema wana nguvu nyuma ya keyboards tuu..... wataongeaaa, watatukana, watatishia, watajiapiza kufanya mambo hahaha sasa subiri utekelezaje

Ndio utajua hili ni kundi la wasanii. Nani mjinga akubali kujitoa sadaka kwa kuvunja sheria za nchi

Mama una maneno kumbee. Halafu kumbe upo vizuri upstairs! Nilidhani ni mdau wa MMU tu
 
Tbc itakua wameona habari zakurusha mgombea wa ccm tu hazina hamsha hamsha imewabidi wajisogeze tena cdm angalau wasikike.
Chadema wajichunge sana sasa. Warudie kusoma tena muongozo wa kampeni tena kwa umakini
 
Tbc itakua wameona habari zakurusha mgombea wa ccm tu hazina hamsha hamsha imewabidi wajisogeze tena cdm angalau wasikike.
Ni wakati CDM baada ya kususwa na vyombo vya habari ndiyo wakaomba maridhiano, kama wangekuwa jeuri wangekataa maridhiano.

Kama CCM walivyokata maridhiano na Mbowe aliyoyaomba kwenye sherehe za uhuru.
 
Back
Top Bottom