Siyo kweli kama hivyo ndivyo kwanini mmliki wa SACCOSS amekubali kukaa meza ya maridhiano ? .Hakuna kitu kama hicho TBC kutorusha mikutano ya upinzani ilikuwa inaleta doa kubwa sana kwao.
Hata kufukuzwa mkutanoni kuliwachafua sana nadhani hata views zilipungua sana kwa watu.
Maana hata mkutano wa ACT walilalamikiwa hivyo hivyo.