Mkuu ulichokiandika unakielewa? Hao kina Tibaijuka walipewa hizp hela haikalishi ni kihalali au kiharamu! Tatizo ni kwamba huyo aliyewapa ndo ameshinda kesi! Yaani Rugemalila (IPTL) ndo wameshinda kesi! Sasa akina Tibaijika wanalipa vipi wakati serikali yenu imeshindwa kesi?Waibe hela wengine,sisi tulipe deni? Hii haikubaliki. Tibaijuka na wenzako mkalipe deni
Usipolipa mahakama ina issue warrant wa Ku seize Mali za Tanzania popote ilipo
Mkuu ulichokiandika unakielewa? Hao kina Tibaijuka walipewa hizp hela haikalishi ni kihalali au kiharamu! Tatizo ni kwamba huyo aliyewapa ndo ameshinda kesi! Yaani Rugemalila (IPTL) ndo wameshinda kesi! Sasa akina Tibaijika wanalipa vipi wakati serikali yenu imeshindwa kesi?
Kuna tetesi kuwa habinder sing ndo mfadhili mkuu wa chama wakati wa uchaguzi wa raisi na hata wakati wa uchaguzi wa mwenyekiti wetu pitia ukurasa wa zitto kabwe facebook kaandika hayoJaribu kuwa na akili japo kidogo,mabilioni hayo ya shilingi yanayodaiwa ndiyo yale ambayo vigogo waandamizi wa chama na serikali yako tukufu waligawana na kuyapakia kwenye mifuko ya Rambo pale Stanbic Bank,hao wapambe wako unaowaabudu kama ni wazalendo kwa nini hawawakamati waliogawana mabilioni hayo na kuyabeba kwenye viroba?
Miezi 11 tangu waingie madarakani wanashindwa nini kuwataja wale wote waliohusika na sakata la Tegeta Escrow?Wanashindwa nini,au mabilioni hayo yalitumika katika kuwaweka madarakani?
Ndiko tunakoelekea hukoTunakoelekea Unit 1 tutauziwa kwa TSh 600 na kama hutaki utalala Gizani.
Unazani hill deni nani atalipa kama sio Watanzania wote.
Aliyeombea mabaya apo ni nani ebu mtaje banaaaaKwa nn watu hatuna uzalendo kazi kuombea mabaya tu serikali why,inawezekana kabisa nyie mnaoombea mabaya hata familia zenu huwa mwaziombea mabaya iweni na uzalendo
Elezea kidogo mkuu , wengine tulikuwa bado tunachunga ndama umang'atini.Baada ya kujua ishu ya IPTL mwanzoni mwa miaka ya 90 , Mwalimu Nyerere alisema, kama ushirikiano wa nchi za south South uko hivi then bora ukoloni.
( IPTL ni kampuni ya Malaysia ambayo nayo ni member wa nchi za South South
Kweli kabisa sasa hivi gharama za umeme zitaanza kupanda. Walituondolea capacity charge sasa watarudisha tena.
Au tutaambiwa tuendelee kulipa kodi mbalimbali ili kufidia madeni ya kizembe kama haya.
Msema kweli mpenzi Wa Mungu.[emoji481] [emoji357] nimemaliza kumnukuuDawa ya deni ni kulipa tu
Mkataba mpya miaka ishirini .kamasikosei itakuwa imebaki miaka 18 sasaSamahani naomba kuuliza watalipwa mpka lini?
/
Mkataba unaisha lini?