Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!

Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!

Waibe hela wengine,sisi tulipe deni? Hii haikubaliki. Tibaijuka na wenzako mkalipe deni
Mkuu ulichokiandika unakielewa? Hao kina Tibaijuka walipewa hizp hela haikalishi ni kihalali au kiharamu! Tatizo ni kwamba huyo aliyewapa ndo ameshinda kesi! Yaani Rugemalila (IPTL) ndo wameshinda kesi! Sasa akina Tibaijika wanalipa vipi wakati serikali yenu imeshindwa kesi?
 
Usipolipa mahakama ina issue warrant wa Ku seize Mali za Tanzania popote ilipo

Asante kwa kusaidia kutoa ufafanuzi Watanzania wengi huwa tunadhani sisi ni kisiwa kwamba tunaweza kupuuza Hukumu za Kimataifa eti kwa kujiliwaza kuwa "hatulipiii , hatulipiiii" kwa ufahamu wangu mpaka dakika hii umeme ninao tumia kuandika bado TUNALIPA TUUUU
 
Mkuu ulichokiandika unakielewa? Hao kina Tibaijuka walipewa hizp hela haikalishi ni kihalali au kiharamu! Tatizo ni kwamba huyo aliyewapa ndo ameshinda kesi! Yaani Rugemalila (IPTL) ndo wameshinda kesi! Sasa akina Tibaijika wanalipa vipi wakati serikali yenu imeshindwa kesi?

Mkuu unajua zile hela zilikua ni za nini?
 
Kwa mwendo huu itakuwa vigumu sana kujenga viwanda.
tuliambiwa zile fedha za tegeta escrow account siyo za tanesco(serikali),akalipwa PAP na VIP engineering and Marketing,sasa je hizi za kuilipa SCB-HK zinatoka kwa nani?who authorized the controversial and secret payment to PAP?
Hii nchi inakatisha tamaa sana
 
Jaribu kuwa na akili japo kidogo,mabilioni hayo ya shilingi yanayodaiwa ndiyo yale ambayo vigogo waandamizi wa chama na serikali yako tukufu waligawana na kuyapakia kwenye mifuko ya Rambo pale Stanbic Bank,hao wapambe wako unaowaabudu kama ni wazalendo kwa nini hawawakamati waliogawana mabilioni hayo na kuyabeba kwenye viroba?

Miezi 11 tangu waingie madarakani wanashindwa nini kuwataja wale wote waliohusika na sakata la Tegeta Escrow?Wanashindwa nini,au mabilioni hayo yalitumika katika kuwaweka madarakani?
Kuna tetesi kuwa habinder sing ndo mfadhili mkuu wa chama wakati wa uchaguzi wa raisi na hata wakati wa uchaguzi wa mwenyekiti wetu pitia ukurasa wa zitto kabwe facebook kaandika hayo
 
Kwa nn watu hatuna uzalendo kazi kuombea mabaya tu serikali why,inawezekana kabisa nyie mnaoombea mabaya hata familia zenu huwa mwaziombea mabaya iweni na uzalendo
Aliyeombea mabaya apo ni nani ebu mtaje banaaaa
 
Baada ya kujua ishu ya IPTL mwanzoni mwa miaka ya 90 , Mwalimu Nyerere alisema, kama ushirikiano wa nchi za south South uko hivi then bora ukoloni.

( IPTL ni kampuni ya Malaysia ambayo nayo ni member wa nchi za South South
Elezea kidogo mkuu , wengine tulikuwa bado tunachunga ndama umang'atini.
 
Ni sawa tu, kama tumeshindwa kutumia pesa za serikali kuhudumia wanyonge ni vema hizo pesa zichukuliwe na hao IPTL kwani hata zikiwepo hazionekani kusaidia. Badala yake tumerudi kushika bakuli kuomba misaada ili kuwahudumia watu wetu ilohari tulishaambiwa pesa ipo na Tz ni tajiri sana, tulipe pesa za IPTL.
 
Kweli kabisa sasa hivi gharama za umeme zitaanza kupanda. Walituondolea capacity charge sasa watarudisha tena.
Au tutaambiwa tuendelee kulipa kodi mbalimbali ili kufidia madeni ya kizembe kama haya.

Gharama za umeme haziwezi kupanda
 
Hiyo pesa ndogo sana, kwa uchumi unavyokua. Pesa ipo ya kutosha, TRA kila siku wanakusanya pesa mingi sana.
Ajira mpya hakuna, Vat & Tax zipo juu, Safari za nje zimefutwa, na hakuna fao la kujitoa kwhiyo pesa ipo tu ya kutosha.
Hii imesaidia sana kufanya uchumi kukua. Pesa ipo mingi, hilo ni jambo dogo sana.
Teh teh teh teh
HAPA KAZI TU.
 
Watanzania hapa tuna jambo kubwa la kujifunza,hata prof.Tibaijuka alisema wazi huyu mama alikua anajua ingawaje hatukutaka kumsikuliza tukampuuza,na wengine tukabaki kushangaa yakuwa mbona huyu mama hachoki anapambana??nini kiko nyuma yake pamoja na yote yaliyo mkuta kudharirishwa na matusi kibao??

Nakumbuka maneno yake machache kuwa 'IKIWEKWA WAZI KUWA PESA WALIZO PEWA KAMA MCHANGO WA SHULE NA NDUGU RUGEMALILA KUWA NI ZA WIZI AMA UDANGANYIFU WA AINA YOYOTE BASI WAO KAMA TAASISI WAKO TAYARI KURUDISHA FEDHA HIZO'

Sasa Watanzania kwa ushabiki na kelele tukashabikia tena bila hiyana na kwa ushabiki huo huo ambao ulikua mbaya zaidi wakuwasahau wezi wenyewe halisi wa pesa hizo tukaanza kuwashambulia bila haibu wale walio pewa misaada na michango tena kwa malipo halali ambayo yalikua yamelipiwa kodi zaidi ya 35billion.

Haya sasa imekuwa tofauti na mategemeo yetu na wale tulio kuwa tunasukumwa kushangilia tusicho kijua tumeumbuka,mwisho wa siku tumeshindwa kesi na seikali inatakiwa kulipa mabilioni ya shilingi.

!WATANZANIA TUACHE USHABIKI TUWE WEPESI KUUTAFUTA NA KUUAMINI UKWELI!
 
Mafanikiao ya serikali ya awamu ya nne haya! matokeo chanya ya ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya.
 
Tulikaa kuwabana wasio husika, masikini wengine wakina mama Tibaijuka wakatolewa kafara,wezi wenyewe wapo wanatanua na pesa za wizi na hawaguswi.

MPAKA LEO HAKUNA HATA MMOJA ALIYE POKEA PESA TENA AMBAZO HAZIKULIPIWA KODI KABISA KUPITIA STANBIC AMBAYE ANAFAHAMIKA WALA KUCHUKULIWA HATUA

DHAMBI HII ITATUTAFUNA MPAKA HAKI ITENDEKE! WEZI HALISI WA STANBIC NA WA RUMBESA WAWEKWE WAZI.
 
Back
Top Bottom