Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!

SIYO MAKOSA YA NCHI ZA SOUTH, NI VIONGOZI WETU. KILA CONTRACT IN DEAL NDANI YAKE, MAWAKILI WANAPIGA DEAL WAPATE MKATO WAO. TANZANIA YA KIKWETE ILIKUWA IMEOZA.

Wenzako wanataka JK arudi wewe unasema alikuwa uozo?
 
Mkuu hayo unayoyasema ni kweli yanaingia akilini. Sie tunapata umeme (hata kama bei ni kubwa[emoji15] ) umiliki hautuhusu sawa.

Sasa cha kujiuliza baada ya hukumu na pesa kutolewa kwa PAP na ruge iweje kwenye mgao huo$$$

wapewe majaji (hukumu ilikuwa ya haki?

Watumishi waandamizi wa serikali akiwemo aliyekuwa mwanasheria mkuu na aliyekuwa waziri wa nishati?

Hii inaingia akilini kweli, kwa nini watu walichota fedha sitaniibenki haraka haraka kwa magunia na mabilioni kinyume cha taratibu za ki benki? Huu sio wizi kweli?

Tumerogwa au
Hiyo hoja sasa ya nani alipewa pesa na nani peleka kwenye baraza la maadili huko serikarini wachukue hatua.

Hoja ya TANESCO anadaiwa au la ndio nilioelezea mimi na awatolipa hili deni la SCB-HK miaka mia nane. Mkataba una privity zake na TANESCO ina deal na IPTL sio Rugemalira, PAP or SCB-HK that is the law. Huu ni mchezo mchafu wa wazungu tu mnaotumbukia na ndio wanachokitaka serikari i-panic.
 
Kwanza uchumi wenyewe unaonyesha kila dalili za kuporomoka kwa kasi, sasa na haya madeni mazito mazito sijui yatatupeleka wapi!
 
Duh! Umekaaa kidogo,kupatwa kwa jua,ukijipindua huku,kupatwa kwa bukoba,ujakaa vizuri tanesco nayo inapatwa.bado tochi barabarani aiseeeee.
 
WANAOTAKA JK ARUDI NI WALE WAPIGA DEAL, TENDA, NA WALIOKUWA WAKIIUZIA SERIKALI MAJI YA KUNYWA CHUPA MOJA MILION MOJA
mmh haya maneno haya...alafu nikiangalia ugumu wa maisha mtaani natamani niku nase vibao walau viwili ili machungu yapungue
 
KAZI HII SIYO YA RAIS PEKE YAKE NI YA SISI SOTE. RAIS PEKE YAKE HAWEZI KUPAMBANA NA HAWA WEZI WALIOACHIWA MUDA MREFU BILA YA KUSHUGHULIKIWA. ATAWEZAJE KUTEKELEZA KAZI HII NGUMU KUPAMBANA NA WATU WENYE PESA NYINGI AMBAO WANAWEZA HATA KUWALIPA MAWAKILI WA SERIKALI, NA HUKU ANAJENGEWA UKUTA? RAIS NI BINIADAM KAMA SISI SIO SUPPER HUMAN. WATANZANIA TUKISIMAMA KWA PAMOJA HAWA WENYE PESA HAWEZI KUTUNUNUA SISI WOTE. RAIS ASICHAGUE NANI WA KUMUTUMBUA WOTE WALIO NA MAKOSA YA KUHUJUMU UCHUMI WOTE WAJIELEZE NA MALI ZAO ZISHIKWE.
unaisemeaje lugumi je nayo ni uozo wa serikali ya rais wako magufuli?
 
SIYO MAKOSA YA NCHI ZA SOUTH, NI VIONGOZI WETU. KILA CONTRACT IN DEAL NDANI YAKE, MAWAKILI WANAPIGA DEAL WAPATE MKATO WAO. TANZANIA YA KIKWETE ILIKUWA IMEOZA.
okey tuseme serikali ya kikwete ilikua imeoza, kama ni hivyo kwa sababu na rais wako wa sasa alikua kwenye hiyo serikali je na yeye ameoza??? je unasemaje pale rais wako aliposema atamlinda jk? je rais wako analinda walioleta uozo tz?
 
Nchi hii ina laana tena sio laana ndogo ona tu jinsi wezi wanavyo pendwa ukifika uchaguzi
 
Project yeyote inayohusu financing mkataba wake unahusisha pande zaidi ya mbili, mfano Tz inataka kujenga reli, system iliyopo ni kwamba italipa reli hiyo for the next 10 yrs ,itakachofanya serikali inatafuta pesa kwa mabenki nje au ndani, kumbuka mabenki ya nje yanaifahamu vizuri Tz kuwa uchumi au ulipaji wake ni wakusuasua, hivyo benki kabla haijatoa pesa itamwambia serikali niletee guarantor ambae ukishindwa kulipa mimi nitamtafuta yeye anilipe, guarantor akipatikana wana sign contract between serikali ya Tanzania, guarantor na kampuni itakayokuja kujenga reli, hivyo kampuni itapewa pesa ,hivyo kuanza ujenzi, wakimaliza serikali itaanza kufanyaje kulipa bank, ikishindwa ndo hapo guarantor anakuja kulipa deni kwa benki lakini reli itakuwa ya guarantor, ndo kilichotokea kati ta SCB-HK na IPTL, hivyo Tanesco/serikali wanaijua fika SCB-HK, wala sitake kutudanganya maana hivi vitu tunacheza navyo kwenye makampuni kila siku.Kwa Chinese, bank ambayo hutoa misaada ya kifedha kwa ajiri ya ujenzi ni EXIM BANK,guarantor ( Insurance company) ni SINOSURE ambao huchukua 1% to 5% of the whole project contract ( security) , lakini wana deal sana na private companies na African government hawafanyi nazo kazi sana na zimekuwa ranked E interms of credit, kama iki happen kwamba lazima wa fund govnment projects basi guarantor lazima iwe ni Chinese government . Hivi vitu viko wazi hivyo hapa tumepigwa , watu warudishe pesa.
 
TANESCO wala IPTL aijawai kukopa huko SCB-HB wala kufanya nao dealings zozote; wao wameingia wakati wa windup process za Danaharta Bank kwa kununua deni la IPTL during assest stripping process. Na madai yao sio kwamba wamenunua deni tu bali IPTL ni mali yao hapo ndio mzozo wa ubia na umiliki ulipo. IPTL wako tayari kulipa deni walilokuwa wanadaiwa yeye ataki malipo ya deni anataka IPTL na mkataba wote wa TANESCO.
 
Hiyo hoja sasa ya nani alipewa pesa na nani peleka kwenye baraza la maadili huko serikarini wachukue hatua.

Hoja ya TANESCO anadaiwa au la ndio nilioelezea mimi na awatolipa hili deni la SCB-HK miaka mia nane. Mkataba una privity zake na TANESCO ina deal na IPTL sio Rugemalira, PAP or SCB-HK that is the law. Huu ni mchezo mchafu wa wazungu tu mnaotumbukia na ndio wanachokitaka serikari i-panic.
Iptl ni nani?
Kulikuwa na mgogoro wa umiliki wa iptl, kesi zilikuwa ktk mahakama za ndani na pia za nje..

Kumbuka mkataba wa tanesco na iptl ulihusisha mwekezaji/mkopo toka nje, so haikwepeki sheria ya kimataifa

Kesi ya ndani ilipikwisha tu, pesa zikatolewa bila kujali kesi ile ya nje ya umiliki..

Suala la mgao na uhalali wa hukumu ya umiliki wa iptl halikwepeki ( hoja ya maadili ni kichaka cha kujifichia tu). Ndio tuseme wale majaji na wala mgao ni wamiliki wa iptl?

Mimi leo nikishinda hukumu, kesho nikawapa majaji mgao ni suala la maadili?
 
TANESCO wala IPTL aijawai kukopa huko SCB-HB wala kufanya nao dealings zozote; wao wameingia wakati wa windup process za Danaharta Bank kwa kununua deni la IPTL during assest stripping process. Na madai yao sio kwamba wamenunua deni tu bali IPTL ni mali yao hapo ndio mzozo wa ubia na umiliki ulipo. IPTL wako tayari kulipa deni walilokuwa wanadaiwa yeye ataki malipo ya deni anataka IPTL na mkataba wote wa TANESCO.
Sio madai yao , Kwanza walinunua deni hivyo Malaysia bank wakajitoa, baada ya hapo SCB-HK wakachukua kila kitu cha IPTL mwaka 2005, rights zote za iptl zilikuwa under SCB-HK, hawakuchukua kinyemela bali wali sign contract between SBC-HK, IPTL na Tanesco/serikali, tazama hapo juu. Kwa hiyo IPTL haiwezi kufanya chochote bila kuwashirikisha SCB-HK. Hivi ujiulize IPTL ina mwaka 1990 or 2000 ilikuwa na cash flow gani hadi wakubaliwe kuwa funded na bank ya Malaysia? hivyo kuna mkono wa serikali hapo ambao waliwahakikishia kwamba isiwe na wasiwasi sisi tutakamilisha hii project ontime na tutarudhisha deni lenu kitu ambacho walishindwa, ndo maana SCB-HK wamekuwa makini wakisign contract kati ya IPTL na serikali, cha ajabu serikali yetu/tanesco baada ya kuona pesa wakajaribu to bypass them hehe kituko cha mwaka.
 
Iptl ni nani?
Kulikuwa na mgogoro wa umiliki wa iptl, kesi zilikuwa ktk mahakama za ndani na pia za nje..

Kumbuka mkataba wa tanesco na iptl ulihusisha mwekezaji/mkopo toka nje, so haikwepeki sheria ya kimataifa

Kesi ya ndani ilipikwisha tu, pesa zikatolewa bila kujali kesi ile ya nje ya umiliki..

Suala la mgao na uhalali wa hukumu ya umiliki wa iptl halikwepeki ( hoja ya maadili ni kichaka cha kujifichia tu). Ndio tuseme wale majaji na wala mgao ni wamiliki wa iptl?

Mimi leo nikishinda hukumu, kesho nikawapa majaji mgao ni suala la maadili?
Hapana kwenye mkataba kuna kitu kinaitwa privity, mimi nikisaini mkataba na wewe ukanipangisha nyumba ikitokea mimi nimefariki auna mkataba na mwanafamilia yoyote yule anaenihusu na upo huru kuvunja mkataba; na ikitokea wewe umetangulia mimi pia sina mkataba na mrithi wako those are rules of privity of contracts kuondoa third party claims (unless hiyo nchi ina sheria husika inayotoa maelezo ya third party).

Kwa hivyo mkataba wa TANESCO na IPTL ni agreement between those two parties (na IPTL imesajiliwa Tanzania majina ya owners wake yatakuwa BRELA).

Sasa mtu mwingine kudai na yeye ni mmiliki wa IPTL kutokana na nyaraka gani sijui alizopewa kwanza aliondoi ubia wa VIP na pili umiliki wake is disputable kama IPTL wako tayari kulipa deni maana kisheria atambuliki kwa sababu hayuko kwenye jina la usajili wala wa IPTL ata ukienda BRELA. Hizo actions wanazofungua kimataifa na kusikilizwa ni kutambua kwamba awawezi shinda hiyo kesi Tanzania na pili hazina mantiki na kwa sababu Rugemalira ajaenda kutaka kupambana naye in short SCB hana kesi ya umiliki labda deni.
 
Sio madai yao , Kwanza walinunua deni hivyo Malaysia bank wakajitoa, baada ya hapo SCB-HK wakachukua kila kitu cha IPTL mwaka 2005, rights zote za iptl zilikuwa under SCB-HK, hawakuchukua kinyemela bali wali sign contract between SBC-HK, IPTL na Tanesco/serikali, tazama hapo juu. Kwa hiyo IPTL haiwezi kufanya chochote bila kuwashirikisha SCB-HK. Hivi ujiulize IPTL ina mwaka 1990 or 2000 ilikuwa na cash flow gani hadi wakubaliwe kuwa funded na bank ya Malaysia? hivyo kuna mkono wa serikali hapo ambao waliwahakikishia kwamba isiwe na wasiwasi sisi tutakamilisha hii project ontime na tutarudhisha deni lenu kitu ambacho walishindwa, ndo maana SCB-HK wamekuwa makini wakisign contract kati ya IPTL na serikali, cha ajabu serikali yetu/tanesco baada ya kuona pesa wakajaribu to bypass them hehe kituko cha mwaka.
Malaysia Bank aikujitoa ilifilisika kwenye kulipa madeni yao; deni la IPTL liliuzwa kwa wengine kama sehemu ya asset stripping ndio ilichonunua SCB sio hisa za kampuni au kingine chochote; hizo claims zingine sijazisikia kama Rugemalira aliwahi mtambua SCB kama owner wa IPTL lazima ahusike yeye ndie aliebaki na anaetambulika mtu kudai yeye ndiye mmiliki kama anavyo force SCB aina maana ndio ukweli wenyewe.
 
Back
Top Bottom