Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!

Hapa tulishaingizwa cha kike, sasa tanesco itawalipia wale waliogawana na tanesco itatukamua sisi, dah!
Hapa JPM afanye kitu, tanesco kama watalipa, serikali iwakamue na kuwashtaki wale waliogawana ile pesa.
 
Kwani Tane

Tanesco isipolipa hakuna shida. IPTL hawana uwezo wa kucheza na dola. Watafanya nini? Hakuna kitu. Dawa ni kutolipa tuone watakachofanya hao IPTL.
maneno hayo unaongea ukiwa umekaa wapi mkuu?
 
Hakuna kuwalipa hao mafisadi la sivyo wakamatwe wote waliousaini huo mkataba wa kifisadi na kuisababishia nchi hasara si wote wapo na wanafahamika?

Kwani hilo lilihitaji tufike huku ndio wakamatwe? Ni sawa na lugumi inavyofumbiwa macho sasa hivi.
 
Hivi hili gazeti LA gadian huwa ni LA nani vileee...!!!
 

Umekuwa mkali kama vile umekula pilipili kichaa.Mbona mie sijamshika huyo Professor wako?Mie nimeuliza leo Professor atatuaminisha nini?Ni Swali la kuhoji baada ya TANESCO na Mawakili wa Serikali yetu ya CCM kuangukia PUA?
 
Haukuwa uamuzi wa TANESCO kulipa zile fedha sote tunajua ni nani waliamua zile fedha zitoke
 
Hivi mahakama mafisadi si imeshaanzishwa?
Inawezekana shetani kumlipa shetani lakini haiwezekani shetani kumtoa shetani.shetani amfunge shetani ilo halipo popote. Mikataba wameingia mashetani na mashetani wanapelekana mahakamani na mwisho wanalipana tu. Mnabana pua tu mahakama ya mafisadi.him nchi inapozungumzia ufisadi inazungumza lugha ya kimalaya wajinga na mazezeta yanakenua meno.we fikilia tuliambiwa pesa si za uma na mazezeta yakakenua meno na kutetea upumba.vu. MAZEZETA AYACHANGII HUMU YANAJUA UMALAYA WA WAZAZI WAO UMETUFIKISHA HAPA. POLE MUHESHIMIWA RAIS WETU MAGUFULI MAJIZI YAMEIBA PESA PEUPE KWENYE MIFUKO ANZA NA HAO WATATAJANA TU.HAWANA HURUMA NAWE USIWAHURUMIE WALA KUWALINDA TENGUA KAULI TU.MAANA YASIYOTENGUKA NIYA MUNGU TU.YA BINADAMU YANATENGUKA PELEKA HAYO MASHETANI MAHAKAMANI
 
Hao mawaziri na wakurugenzi walioruhusu fedha za ESCROW zilipwe kwa PAP na Singh si wapo??
Singh na wenzake wote walioamua alipwe wakamatwe, mali zao zitaifishwe tufidie deni la T ANESCO!
Wote waliochukua fedha kwa masandarusi toka Bank ya Stanbick wakamatwe fedha zirudi hakuna kuoneana haya wandugu.
Mchezo huu wa ujambazi ufikie tamati!!
 
400m×30=12bilioni,makusanyo kwa mwezi=1.1trilion,hiyo pesa ndogo sana [emoji1] [emoji1] [emoji1]

kwa mwaka ni zaidi ya bil. 140 zinaenda iptl pengne pasipo kutoa huduma yoyote... hiyo pesa inatoka ktk mapato ya tanesco...

kwa nn pesa hizo. zisiwe na matumizi mengne ya maendeleo kuliko kwenda kwa wajanja wachache kama wale wa eskrow...

Sijui tutaendelea lini! Na likiisha hili kutakuja na mengine yenye utata zaidi na tutaendelea kulipa miaka yote

mkuu.
yenye utata ni mengi.
lugumi! chenchi ya rada! shivacom! nk.
 
Huku South Afrika kuna kampuni Inaitwa TEGETA na inajihusisha na masuala hayo ya umeme. sijui inahusiana vipi na Tegeta escrow cz nayo inahusishwa na ufisadi mkubwa tu huku
 
Hivi Mkuu wale wakina Shose Sinare na Sioi si wameshtakiwa kwa issue hii,na kama ni kweli ile kesi yao inayoendelea hivi sasa uhalali wake upo wapi?
Nafikiri kesi ya kina Shose ni tofauti na hii. Kesi yao ni ya Stanbic UK ambayo ni bank ya Standard Bank SA. Hii ni Standard and Chartered Bank Hong Kongo ambayo ni British Bank!!
 
Huku South Afrika kuna kampuni Inaitwa TEGETA na inajihusisha na masuala hayo ya umeme. sijui inahusiana vipi na Tegeta escrow cz nayo inahusishwa na ufisadi mkubwa tu huku
Hata mimi nimekuwa najaribu kuifatilia ... sijui ni coincidence gani maana hiyo TEGETA nayo ina scandals kama Bongo!! Usije kuta Singasinga wa ITPL na Gupta wa RSA wanamahusianao!!
 
Mahakama na mamlaka zote lao moja, IPTL ambayo ni kampuni ya Tanzania VIP ilikuwa inamiliki just 30% na Malaysia 70% ambapo Malaysia baadae wakauzia SCB-HK , maana yake rights na umiliki wa Malaysia kwa IPTL of 70% ulikuwa transferred to SCB-HK. PAP anatokea anawaambia amenunua IPTL baada ya kukubaliana na mbia wa IPTL ambaye ni rugemalila, utambuaje mtu mwenye share ya 30% ushindwe kumtambua mtu mwenye 70% ambao ni SCB-HK? Kama PAP alikuwa kweli ana nia njema ya ununuzi wa IPTL alitakiwa amalizane na wahisani wote wa IPTL ( VIP+ SCB-HK) witnessed by Tanesco, ili pande zote ziwe sawa. Serikali inao mkataba wa ununuzi kati ya PAP na IPTL watuonyeshe walimalizana vipi?, hapa kinachofanyika mamlaka ,mahakama , PAP na wengine wote walikuwa well organized kupiga pesa hii, wakimtumia VIP mwenye 30% kuwa ndo mmiliki wa halali kuruhusu uchotwaji wa pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…