Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!

Kwa nn watu hatuna uzalendo kazi kuombea mabaya tu serikali why,inawezekana kabisa nyie mnaoombea mabaya hata familia zenu huwa mwaziombea mabaya iweni na uzalendo
 
Whaaaat? 300 billions, za nini hizo nazo?
Duh Iptl imegeuka cashcow ya mafisadi.
 
Mnatamani sana Serikali ipandishe bei ya umeme ili muwe na ajenda majukwaani. Mmeula wa chuya. Hilo halitarokea kwa utawala wa Rais Magufuli
We Lizaboni umelogwa?
Unaambiwa tunamlipa fisadi singh Tshs 300,000,000,000/"
Billion mia tatu kila mwezi kwa
mikataba ya kijizi!!
Wewe unaleta za kuleta hapa,
huna hata huruma kwa Watanzania maskini!!
Dhulumuni lakini watu watafunguka na ukweli utajulikana!!
 
Kwa nn watu hatuna uzalendo kazi kuombea mabaya tu serikali why,inawezekana kabisa nyie mnaoombea mabaya hata familia zenu huwa mwaziombea mabaya iweni na uzalendo
Sio kuombea mabaya, tatizo wanaoshughulikiwa niwale "wasio wenzetu". Vitu kama ESCROW na IPTL vinadidimiza uchumi wetu sasa wenye mamlaka wamefumba macho na kuahidi kulindana.
 
Mkuu....
Kwa heshima na taadhima, naomba utuwekee habari nzima huku kama utaweza.
Huku kwetu Ushirombo hayo ma The Guardian hayafiki, alafu kwenye lugha sasa ndio mtihani mwingine...[emoji25] [emoji25]
[emoji23] [emoji4] [emoji4]
 
..haya sasa kumekucha....hili ni angalizo kwa watawala kuwa waanze sasa kuwashughulikia wale wote waliotuingiza kwenye deni hili...kwa kuingia mkataba feki na IPTL....waanze sasa watawala kushughulika na yale maazimio ya bunge...Btw.....yuko yule aliyesema pesa hizi hazituhusu watanzania?kama hazituusu vipi sasa tunatakiwa kulipa deni?
 
Ifike mahali watanzania tuwe very serious, tena more than that. Leo hata nikikamatwa kwa kuchochea uvunjivu wa amani dunia itaniona shujaa kuliko yule kijana wa Hong kong aliyeshinda ubunge huku kesi ikiwa mahakamani.
Bunge liliishauri serikali kuachana na kuitaifisha iptl lakini kwa kununuliwa kwenu na huyu mhindi ambaye ana uraia wa hapa mkaziba masikio.
Leo hii mnashindwa kesi na kutulipisha mahela yote hayo na wakati huohuo tunamlipa milioni 400 kila siku. Jama, nani katushikia akili zetu? Serikali inashindwa nini kumweka kizuizini huyu mtu na kundi lake? Kama mnashindwa basi mob justice itake place manake hatuwezi kukosa hiduma muhimu kama maji, dawa na malazi pamoja na elimu kisha tukaacha kodi zetu zikawanufaishe wachache.
Hapa mtukufu sana rais sema chochote vinginevyo nitakuwa wa kwanza kushtakiwa na tanesco kwa kuwahujumu. Sitolipia umeme hadi huyu singa afungwe magereza.
 
Tanzania HAIWEZI shinda kesi yyt ya KIMATAIFA
Kama Waziri wa Sheria ni Dr Mwakyembe PhD holder anayeliangalia kwanza tumbo lake lishibe
Kama AG ndiyo huyu Masanju
Unategemea tuwe na vijana kweli wakutusimamia kesi hizi?
Hawa wanasheria wa serikali wanaofundishwa kazi kila siku na Lissu na Kibatala?
Acheni utani bana,tena tulipe mapema kabla hata riba haijaongezeka
Lkn Magufuli week hii ataita waandishi wa habari na kutuambia "hawezi kulipa wala kutii hukumu"
Chukueni na mhifadhi maneno yangu
Tunaingia kwenye mzozo wa utawala bora wa kimataifa muda si mrefu
 
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake IPTL -Independent Power Tanzania Limited.

Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes.

ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.

SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1

Kwa habari zaidi soma the Guardian la leo:

==========

TANESCO ordered to pay $148m over IPTL dispute

Washington-based tribunal rules in favour of Standard Chartered Bank, saying dubious payments made from the Tegeta escrow account to businessman Harbinder Singh Sethi do not discharge TANESCO's obligations to the bank

By Guardian Reporter

THE Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) has suffered a massive blow in its protracted legal dispute with Independent Power Tanzania Limited (IPTL) after a World Bank tribunal last week ordered the state-owned power utility to pay Standard Chartered Bank-Hong Kong (SCB-HK) $148.4 million (over 320 billion shillings) plus interest in outstanding capacity charges.

The ruling comes nearly three years since the government controversially authorised payments of over $200 million (440 billion/-) from TANESCO-IPTL’s Tegeta escrow account to businessman Harbinder Singh Sethi’s Pan Africa Power Solutions Tanzania Limited (PAP).

This was after SCB-HK purchased the IPTL loan at a discount price of $76.1 million from Malaysia’sDanaharta Bankin August 2005, following the latter’s failure to secure its outstanding loan from IPTL.

The actual face value of the debt was $101.7 million, according to available evidence. IPTL borrowed over $100 million in 1998 from a consortium of Malaysian banks in order to finance construction of its 100-megawatt Tegeta power generating plant.

Under that transaction, SCB-HK was assigned a number of contracts, including the 1997 Security Deed, the Implementation Agreement and the Guarantee Agreement concluded between IPTL and the Tanzanian government. The available details show that SCB-HK also became the Security Agent under the Share Pledge Agreement and the Shareholder Support Deed.

Part of the agreement said: “As Security Agent, SCB HK holds all of IPTL’s ‘right, title and interest in and to the Assigned Contracts, including all moneys which may at any time be or become payable to the Borrower.'"

TANESCO had earlier taken its dispute with IPTL to the World Bank-affiliated International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) for arbitration after the state-owned power utility discovered that it was being overcharged in both capacity and energy charges.

Following this move, both parties agreed as stipulated in their 1996 Power Purchase Agreement (PPA) to establish an escrow account with the Bank of Tanzania (BoT), to be used to deposit all payments pending the outcome of the arbitration.

But a few months before ICSID issued its ruling, the government controversially (and secretly?) paid all the escrow money to PAP after the company claimed that it had acquired full 100 per cent ownership of IPTL in September 2013.

The Washington-based ICSID ruled in favour of TANESCO in February 2014, ordering a tariff recalculation so that finally the escrow money could be paid to either IPTL or the power utility firm, only to then be informed that a third party (PAP) had already been paid everything.

SCB-HK took TANESCO to the ICSID after it realised that the money in the escrow account has been paid to PAP at a time when there was still another pending case over the tariff dispute.

The bank was demanding outstanding payments to clear a loan taken by IPTL’s initial owners to set up the electricity generating turbines.

The Hong Kong-based bank took over control of IPTL after the company failed to pay its loan in 2008, and has since then been fighting to recover the debt.

And after more than five years of rigorous legal proceedings, ICSID judges have now finally ruled in favour of the bank.

"The tribunal orders that TANESCO pay to SCB-HK (Standard Chartered Bank Hong Kong) the amount of $148.4 million with simple interest at three month LIBOR (London Interbank Offered Rate) plus 4 per cent from September 30, 2015 until the date of this award," ICSID said in its latest ruling.

"Interest shall continue at the same rate until full payment is received," the ruling added.

DUBIOUS ESCROW ACCOUNT PAYMENTS

ICSID also ruled that payments made by the government from the infamous Tegeta Escrow Account "did not discharge TANESCO's obligations under the power purchase agreement (PPA) and thus cannot be used to reduce the amount that TANESCO owes SCB HK."

TANESCO paid more than $120 million from the IPTL Tegeta Escrow Account to Pan African Power Solutions (PAP)under dubious circumstancesin 2013.

The escrow account payments triggered a major national corruption scandal which ultimately led to the resignations of at least three senior ministers in then president JakayaKikwete's government.

A number of other senior government officials were also charged with corruption at the Kisuturesident magistrate's court over the IPTL escrow account scam.

Lawyers representing Standard Chartered Bank at the arbitration accused TANESCO of misleading the ICSID tribunal judges by concealing facts about the payments made from the escrow account to PAP.

"SCB-HK understands that PAP used $75 million of the funds obtained from the escrow account to pay VIP Engineering and Marketing Limited (owned by Tanzanian businessman James Rugemalira) for its 30 per cent shareholding in IPTL," says part of the 100-page ruling.

"The funds held in the escrow account that should have been available to satisfy TANESCO's payment obligations to IPTL under the PPA (power purchase agreement) have therefore been paid to two Tanzanian parties - VIP and PAP - neither of whom made any financial contribution to the construction of the facility," it adds.

The ruling seen by The Guardian was dispatched to the parties involved in the arbitration - Standard Chartered Bank and TANESCO - on September 12 this year.

The ICSID is part of the World Bank Group and is funded by the Bretton Woods institution. It is headquartered in Washington, DC, in the United States.

An ICSID award is binding on all parties to the proceeding and each party must comply with it.

If a party fails to comply with the award, the other party can seek to have the pecuniary obligations recognised and enforced in the courts of any ICSID member state as though it were a final judgment of that state’s courts.

Members of the tribunal that issued the award in favour of Stanchartwere Prof Donald McRae (president), Prof Zachary Douglas (arbitrator), and Prof Brigitte Stern (arbitrator).

In the arbitration process, the bank was represented by a team of lawyers from two London-based law firms - Herbert Smith Freehills LLP and Linklaters LLP.

TANESCO was represented by a team of lawyers from Tanzanian-based law firms R.K. Rweyongeza & Co. Advocates and Crax Law Partners, and a Zurich-based law firm Kellerhals Carrard.

ICSID ruled that each party should bear its own legal fees and expenses.
.....hii ruling moja kwa moja inawavua nguo TANESCO na BoT.....kwamba walifanya makosa makubwa kuwalipa PAP na VIP hela toka kwenye mfuko wa escrow wakati wao hawakua party kwenye escrow agreement....hapa lazima BoT waeleze nani aliruhusu zile pesa walipwe kina VIP na PAP toka escrow account....

....escrow account ilikuwa ni agreement kati ya tanesco....na standard chartered bank (HK)...na BoT(kama mtunza fedha)....sasa wao tanesco wameruhusu sehemu ya pesa za escrow kulipwa kwa VIP na PAP kinyume na mkataba wa awali....hili ni kosa...na lazima tuhiji kwanini BoT walilipa ile hela???...kazi kwa utawala wa JPM hapa.....
 
kweli ccm ni janga la milele kwa watanzania... inauma sana hasa ukiwa mwananchi wa kawaida au mfanyakazi wa serikali aka waliosahaulika aka ombaomba...
 
ORDERED TO PAY $148M: Washington-based tribunal rules in favour of Standard Chartered Bank, saying dubious payments from the Tegeta escrow account do not discharge TANESCO's obligations to the bank

TANESCO ordered to pay
$148m over IPTL dispute

Washington-based tribunal rules in favour of Standard Chartered Bank, saying dubious payments made from the Tegeta escrow account to businessman Harbinder Singh Sethi do not discharge TANESCO's obligations to the bank

By Guardian Reporter

THE Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) has suffered a massive blow in its protracted legal dispute with Independent Power Tanzania Limited (IPTL) after a World Bank tribunal last week ordered the state-owned power utility to pay Standard Chartered Bank-Hong Kong (SCB-HK) $148.4 million (over 320 billion shillings) plus interest in outstanding capacity charges.
The ruling comes nearly three years since the government controversially authorised payments of over $200 million (440 billion/-) from TANESCO-IPTL’s Tegeta escrow account to businessman Harbinder Singh Sethi’s Pan Africa Power Solutions Tanzania Limited (PAP).
This was after SCB-HK purchased the IPTL loan at a discount price of $76.1 million from Malaysia’sDanaharta Bankin August 2005, following the latter’s failure to secure its outstanding loan from IPTL.
The actual face value of the debt was $101.7 million, according to available evidence. IPTL borrowed over $100 million in 1998 from a consortium of Malaysian banks in order to finance construction of its 100-megawatt Tegeta power generating plant.
Under that transaction, SCB-HK was assigned a number of contracts, including the 1997 Security Deed, the Implementation Agreement and the Guarantee Agreement concluded between IPTL and the Tanzanian government. The available details show that SCB-HK also became the Security Agent under the Share Pledge Agreement and the Shareholder Support Deed.
Part of the agreement said: “As Security Agent, SCB HK holds all of IPTL’s ‘right, title and interest in and to the Assigned Contracts, including all moneys which may at any time be or become payable to the Borrower.’”
TANESCO had earlier taken its dispute with IPTL to the World Bank-affiliated International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) for arbitration after the state-owned power utility discovered that it was being overcharged in both capacity and energy charges.
Following this move, both parties agreed as stipulated in their 1996 Power Purchase Agreement (PPA) to establish an escrow account with the Bank of Tanzania (BoT), to be used to deposit all payments pending the outcome of the arbitration.
But a few months before ICSID issued its ruling, the government controversially (and secretly?) paid all the escrow money to PAP after the company claimed that it had acquired full 100 per cent ownership of IPTL in September 2013.
The Washington-based ICSID ruled in favour of TANESCO in February 2014, ordering a tariff recalculation so that finally the escrow money could be paid to either IPTL or the power utility firm, only to then be informed that a third party (PAP) had already been paid everything.
SCB-HK took TANESCO to the ICSID after it realised that the money in the escrow account has been paid to PAP at a time when there was still another pending case over the tariff dispute.
The bank was demanding outstanding payments to clear a loan taken by IPTL’s initial owners to set up the electricity generating turbines.
The Hong Kong-based bank took over control of IPTL after the company failed to pay its loan in 2008, and has since then been fighting to recover the debt.
And after more than five years of rigorous legal proceedings, ICSID judges have now finally ruled in favour of the bank.
"The tribunal orders that TANESCO pay to SCB-HK (Standard Chartered Bank Hong Kong) the amount of $148.4 million with simple interest at three month LIBOR (London Interbank Offered Rate) plus 4 per cent from September 30, 2015 until the date of this award," ICSID said in its latest ruling.
"Interest shall continue at the same rate until full payment is received," the ruling added.

DUBIOUS ESCROW ACCOUNT PAYMENTS

ICSID also ruled that payments made by the government from the infamous Tegeta Escrow Account "did not discharge TANESCO's obligations under the power purchase agreement (PPA) and thus cannot be used to reduce the amount that TANESCO owes SCB HK."
TANESCO paid more than $120 million from the IPTL Tegeta Escrow Account to Pan African Power Solutions (PAP)under dubious circumstancesin 2013.
The escrow account payments triggered a major national corruption scandal which ultimately led to the resignations of at least three senior ministers in then president JakayaKikwete's government.
A number of other senior government officials were also charged with corruption at the Kisuturesident magistrate's court over the IPTL escrow account scam.
Lawyers representing Standard Chartered Bank at the arbitration accused TANESCO of misleading the ICSID tribunal judges by concealing facts about the payments made from the escrow account to PAP.
"SCB-HK understands that PAP used $75 million of the funds obtained from the escrow account to pay VIP Engineering and Marketing Limited (owned by Tanzanian businessman James Rugemalira) for its 30 per cent shareholding in IPTL," says part of the 100-page ruling.
"The funds held in the escrow account that should have been available to satisfy TANESCO's payment obligations to IPTL under the PPA (power purchase agreement) have therefore been paid to two Tanzanian parties - VIP and PAP - neither of whom made any financial contribution to the construction of the facility," it adds.
The ruling seen by The Guardian was dispatched to the parties involved in the arbitration - Standard Chartered Bank and TANESCO - on September 12 this year.
The ICSID is part of the World Bank Group and is funded by the Bretton Woods institution. It is headquartered in Washington, DC, in the United States.
An ICSID award is binding on all parties to the proceeding and each party must comply with it.
If a party fails to comply with the award, the other party can seek to have the pecuniary obligations recognised and enforced in the courts of any ICSID member state as though it were a final judgment of that state’s courts.
Members of the tribunal that issued the award in favour of Stanchartwere Prof Donald McRae (president), Prof Zachary Douglas (arbitrator), and Prof Brigitte Stern (arbitrator).
In the arbitration process, the bank was represented by a team of lawyers from two London-based law firms - Herbert Smith Freehills LLP and Linklaters LLP.
TANESCO was represented by a team of lawyers from Tanzanian-based law firms R.K. Rweyongeza& Co. Advocates and Crax Law Partners, and a Zurich-based law firm KellerhalsCarrard.
ICSID ruled that each party should bear its own legal fees and expenses.

ends
 
Haya sasa. The chickens have finally come home to roost!! Walipeni wanaostahili hela zao. Na tutashaa muongo huu!!! Ilikuwa wazi kama usiku na mchana kuwa kesi hii Tanesco watashindwa. Wahusika wanakula kuku na mrija tu. Tundu Lissu alishamtaja mhusika mkuu....
 
Back
Top Bottom