Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Hapo hutamsikia JPM akiwaita "mijizi hii".
Kimya kabisa!
Kimya kabisa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo lilihojiwa sana wakati wa like sakata lakini majibu yalikuwa ya kisiasa majibu halisi ndio haya tulipe zaidi ya shs bn 320 na riba na tozo maumivu makali sana mshahara utaongezwa kweli??.....hii ruling moja kwa moja inawavua nguo TANESCO na BoT.....kwamba walifanya makosa makubwa kuwalipa PAP na VIP hela toka kwenye mfuko wa escrow wakati wao hawakua party kwenye escrow agreement....hapa lazima BoT waeleze nani aliruhusu zile pesa walipwe kina VIP na PAP toka escrow account....
....escrow account ilikuwa ni agreement kati ya tanesco....na standard chartered bank (HK)...na BoT(kama mtunza fedha)....sasa wao tanesco wameruhusu sehemu ya pesa za escrow kulipwa kwa VIP na PAP kinyume na mkataba wa awali....hili ni kosa...na lazima tuhiji kwanini BoT walilipa ile hela???...kazi kwa utawala wa JPM hapa.....
wazo zuri sana, hata asipate tabu achapishe bilioni 400 kabisa awape zao bilioni 300, hizo 100 apeleke chato zimalizie ule uwanja wa ndege wa kimataifaKama vipi Ozeh achapishe hela awalipe hao jamaa . Maana alihaidi kuchapisha hela..
Kweli kabisa sasa hivi gharama za umeme zitaanza kupanda. Walituondolea capacity charge sasa watarudisha tena.
Au tutaambiwa tuendelee kulipa kodi mbalimbali ili kufidia madeni ya kizembe kama haya.
Kwahiyo hapo sisi watumiaji ndo imekula kwetu nchi hii ina mambo ya kijinga sana na hili shirika sijui kwanini wanashindwa kulipa mshindani wake kama ilivyo mitandao ya simu mana lingeshajifia siku nyingi huduma mbovu ila maingizo yao makubwa
Takukuru wana jalada lakini hawana meno wana size yao ya kuwakamata ligi kubwa hutawasikia ila ligi ndogo huwa wanaonyesha ubora waoTanesco hawana kosa. Walioruhusu pesa ilipwe kutoka account ya escrow na waliopokea wakamatwe na walipe hilo deni. Takukuru bila shaka bado wanalo hilo jalada.
ThubutuuuuTanesco hawana kosa. Walioruhusu pesa ilipwe kutoka account ya escrow na waliopokea wakamatwe na walipe hilo deni. Takukuru bila shaka bado wanalo hilo jalada.
Ccm hoyeeeee!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji109]Uchumi unakua kwa kasi,naiona Tanzania ya viwanda ahsante mola kwa hizi pumzi!
Ashasema atawalindaSasa ni wakati wa Rais Magufuli kwenda Stanbic kuwatafuta wale wanaosemekana waliobeba pesa kwenye masandarusi na magunia ili wafidie hii gharama ......!!
Kitu cha kwanza waliohusika wawajibikeWale wazee wa 'vijesenti vya ugoro' na 'pesa ya mboga' ndio wakalipe.., sio kutiana umasikini namna hii