Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,149
Kukopa arusi kulipa matanga! Jamani hili deni lilipwe ili tusahau, maana kama watu wenyewe wameshindwa kuvunja mikataba ya kinyonyaji kama hii unategemea nini? wanasheria wetu ndo kama hao mfano wa akina Werema na Masaju unategemea tutashinda kesi gani sisi? Mwaka huu kuna mtu mpaka ajinyee!!