Mkataba unakuwa na kitu kinaitwa offer, offeror and offeree; hakuna mahala TANESCO na HSC-Bank wanaizo connection directly. Hivyo ndio vigezo vinavyobainisha involved parties in any contract dispute.
Mikataba halali iliyopo ni TANESCO na IPTL
True lakini anamdai aliekopa kwake kwanza in this instance IPTL.Mkuu, kwani mtu akinunua deni la kampuni nyingine, maana yake yeye si ndio mdai mpya, au unataka kusemaje?
mkopo sio kwamba alipewa mechmar?.True lakini anamdai aliekopa kwake kwanza in this instance IPTL.
Inategemea biashara yako imesajiliwa vipi lakini a Private Limited Company (Ltd) kama IPTL or a Public Limited Company (PLC) wana different legal status; kampuni ya aina hizo ni separate entities from its owners. In other words unapokopa kwa jina la kampuni aijalishi nani kakopa inayodaiwa ni kampuni sio mtu ikifilisika procedure ni kuitiana administrator aje kufanya asset stripping za kampuni kulipa madeni yenu.mkopo sio kwamba alipewa mechmar?.
Maanake IPTL ni kampuni iliyoundwa na VIP ya ruge na mechmar ya malaysia.
Waliokopa ni mechmar,ndoo maana inaonekana kama ruge hahusika na huo mkopo,ingekuwa imekopa IPTL ,basi Rugemalila nae angekuwa ni mdaiwa wa hilo deni kama sikosei
Wameshinda au wameshindwa? Mnanichanganya jamaniNgoja niwahi kibaruani kwanza. Nikipata nafasi nitaiweka yote hapa.
Nimeshaiweka unaweza ukaisoma yote.
Acheni uongo nyie matapeli, hamna mahakama yoyote ya "kulinda biashara ya mataifa". Makampuni yote yanafuata sheria za nchi husika; hamna mahakama ya "kimataifa" inayoweza kuiamuru, kwa mfano Coca Cola company kuilipa TANESCO. Kama TANESCO ina bifu na Coca-Cola, inafungua madai mahakama za Marekani, siyo mahakama zenu hewa.Hiyo mahakama inatambulika as long as nchi ni mwanachama wa WTO...
Ili kulinda biashara za kimataifa, ndio hizi mahakama zimeundwa...
Otherwise hakuna ambaye angekubali kuwekeza nchi ambazo kuna figisu figisu...lakini kwa sasa wanajua ukizingua wapi pa kukupeleka...
Ukibisha unapigwa ban ...hakuna kuuza wala kununua nje ya nchi yako...utasalimika (e.g. Zimbabwe)????
Zimbabwe hawajapigwa ban na mtu. Wamewekewa vizuizi vya uchumi kwa sababu Mugabe aliwanyang'nya mashamba Wazungu halafu hela za fidia alizopewa na Waingereza akazi-escrow(kuweka mfukoni). Haikuwa mahakama yoyote isipokuwa serikali zao ziliamua.Ukibisha unapigwa ban ...hakuna kuuza wala kununua nje ya nchi yako...utasalimika (e.g. Zimbabwe)????
Sio kila kitu summaryEmbu weka summary..maelezo marefu mpaka mtu unapoteza uelekeo
Lizaboni anayo majibu yakeJe ESCROW ni pesa ya UMMA au ya Singasinga wa CCM?? Hilo ndo nataka kufahamu kwanza kabla ya kuhangaika na maneno meeeeengi ya mwanasheria wa upande mmoja.
Soma ili uelewe...mmezoea mtu atoe ''summary'' ya uongo...halafu ndio mnachua mtazamo wake.Embu weka summary..maelezo marefu mpaka mtu unapoteza uelekeo