Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!

Iyo ya DP world ikasainiwa then ikaja kufail ndo inchi itauzwa kabisa itakuwa ni fedha nyingi sana
 
Daaah

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Ccm na serikali yao ndio wakulaumiwa.
 
Mitambo ya IPTL kwa hiyo sio ya yule singasinga aliyewekwa ndani na Magufuli akatolewa kipindi hiki cha Samia tuliyeaminishwa ni mitambo yake ? Aisee
 
Ni kupigwa tu kila case😄😄, sijui mkataba gani serikali za CCM ilishawahi kuingia ukawork out na kuleta faida kwa taifa na wananchi kiujumla.😭
 
Tushinde kwa wana sheria na mwana sheria yupi wa serikali? Hizo sio mahakama za mbeya wanao pigiwa simu na kutoa huku zenye Google English hehe .
 
Wanasheria wetu wanaweza kubambikia kesi wapinzani, wakitoka nje hawana uwezo

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Hivi JPM angekuwepo bado tungeendelea kuwa na mikataba ya hovyo kama DPW?
 
Hii nchi hii😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…