Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Iyo ya DP world ikasainiwa then ikaja kufail ndo inchi itauzwa kabisa itakuwa ni fedha nyingi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaambiwa ukisimama mshale ukikimbia mshale! Na "elites" wanachekelea. Nchi imefika patamu ha hahahaha aaa 🤣Ndiyo maana ya uwekezaji.
Wawekezaji Oyeeeee!
DaaahShirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake na IPTL -Independent Power Tanzania Limited.
Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.
SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1
Kwa habari zaidi soma the Guardian la leo:
Mhuuuuu……!!!
Umeambiwa kasome gazeti la the guardian la leo kama sijasokea au unataka source ya namna gani?source iko wapi, au mmezoea mauzushi yenu hayo? kwa faida ya nani
Ccm na serikali yao ndio wakulaumiwa.Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake na IPTL -Independent Power Tanzania Limited.
Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.
SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1
Kwa habari zaidi soma the Guardian la leo:
Mhuuuuu……!!!
Tunajitafuna wenyeweLazima tuliwe mpaka ndondocha tuamke, na tunaliwa na ndugu zetu humu humu... maajabu ya Musa
CCM wanatumaliza!Unaambiwa ukisimama mshale ukikimbia mshale! Na "elites" wanachekelea. Nchi imefika patamu ha hahahaha aaa 🤣
Ni msiba mzito!!!Hii nchi imelaaniwa
Ni kupigwa tu kila case😄😄, sijui mkataba gani serikali za CCM ilishawahi kuingia ukawork out na kuleta faida kwa taifa na wananchi kiujumla.😭Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake na IPTL -Independent Power Tanzania Limited.
Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.
SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1
Kwa habari zaidi soma the Guardian la leo:
Mhuuuuu……!!!
Mimi si miongoni mwao. Waliolaaniwa ni maccm na Viongozi wake wote. Ashukueiwe Mungu kuwa mengi yao yanaiba lakini hayaendi mbali Mungu atayauaNdio tumelaaniwa ndio maana kila kesi uko nje hatushindi
Wanasheria wetu wanaweza kubambikia kesi wapinzani, wakitoka nje hawana uwezoShirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake na IPTL -Independent Power Tanzania Limited.
Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.
SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1
Kwa habari zaidi soma the Guardian la leo:
Mhuuuuu……!!!
Hivi JPM angekuwepo bado tungeendelea kuwa na mikataba ya hovyo kama DPW?Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake na IPTL -Independent Power Tanzania Limited.
Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.
SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1
Kwa habari zaidi soma the Guardian la leo:
Mhuuuuu……!!!
Anataka chili sosi akale na mandazi.Umeambiwa kasome gazeti la the guardian la leo kama sijasokea au unataka source ya namna gani?
Hii nchi hii😭Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake IPTL -Independent Power Tanzania Limited.
Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes
ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.
SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1
‐---------------------------------------'
Yaani sasa hivi ni mwendo wa mafisadi na madalali wa kimataifa kuipiga nchi wakishirikiana na viongozi vipofu, wala rushwa, na wanasheria uchwara/wala rushwa! Sijui tunaekekea wapi?