mtima nyongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,947
- 2,047
Mkulu si alisema awezi lipa ela kirahisirahisi tu sasa hapa itakuaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hapa ndipo ninapopatamani ili # zihesabike vizuri. Na ile kauli ya uchumi unakuwa kwa kasi ishike hatamu.Sisi tuna deal na wanaotishia ulaji wetu tu,hayo mengine mtalipa tu tena kwa kodi yenu
Majaribu hayana budi kuja......Nimesema sijaribiwi hiyo heraa haturipi
Kama sijasahau, Wakati wanakalibia kupiga deal lao la "Escrow" Governor wa Bank Kuu Prof. Ndulu aliwataka hao PAP + IPTL wasaini agreement ya "Kinga" dhidi ya serikali endapo kutatokea lolote...
Hapa sasa tuone busara za JPM
Kuna muda huwa naona ni bora kuwalipa tukaachana nao. Kila siku wanatuletea songombingo tu au tuliingia nao mkataba wa milelel??IPTL ukiwaangalia vizuri Nchi za kusini wapo Tanzania tuu ni kuchaka cha kupigia hela za Tanesco, bill zipo juu kwa sababu ya hawa wachache na sisi tupo kimya tuu..
Wataachaje kushindwa ikiwa toka mwanzo kuna makosa? Kushinda kesi ni pamoja na kuwa na basis of claim na maandalizi madhubuti.Kesi nyingine inabidi serikali ikubali makosa badala ya kwenda kuaibika mahakamani.Inasikitisha mno manake kila kesi Serikali inashindwa tatizo liko wapi?
Tena wafanye haraka waanze na yale "mapanga boy"Usipolipa mahakama ina issue warrant wa Ku seize Mali za Tanzania popote ilipo
Ni fedha zetu ndio zinazolipa.Na bado
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha muhindi yupo New Delhi saa hizi anatafuna matambuu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Naamini hata Mimi maamuma nikisimama na wakili Wa serikali au MTU anaye wakilisha tasisi ya serikali naweza kushinda kesi kiurahis sana.