Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linasubiri niniBunge linapiga kura ya kukosa imani na serikali.
Hapa ndio tutajua uhalisia wa rais kupambana na wezi na wahujum uchumi.....Time will telll
Habinder Singh anatumiwa tu, wenye dili ni hawa Chama Cha Matapeli.Kuna tetesi kuwa habinder sing ndo mfadhili mkuu wa chama wakati wa uchaguzi wa raisi na hata wakati wa uchaguzi wa mwenyekiti wetu pitia ukurasa wa zitto kabwe facebook kaandika hayo
Acha kuzuga, hamna "Mahakama" yoyote ya kimataifa inayoruhusu wizi na utapeli.Asante kwa kusaidia kutoa ufafanuzi Watanzania wengi huwa tunadhani sisi ni kisiwa kwamba tunaweza kupuuza Hukumu za Kimataifa eti kwa kujiliwaza kuwa "hatulipiii , hatulipiiii" kwa ufahamu wangu mpaka dakika hii umeme ninao tumia kuandika bado TUNALIPA TUUUU
Mods, tafadhali tuwekee hiyo hukumu ya ICSID hapa ili kila mtu ajisomee mwenyewe (badala ya kusoma second-hand sources na kudanganyana).
Tanesco haijawahi kutoa order hizo hela zilipwe inshu hii imefanywa na viongozi wa serikali usiingizie tanescoduh!
yani kosa lishakuwa la Tanesco?
Jamani hii too much pamoja na juhudi zote za kukusanya kodi yaani ziishie kulipa deni hewa?Wale wazee wa 'vijesenti vya ugoro' na 'pesa ya mboga' ndio wakalipe.., sio kutiana umasikini namna hii
Nakumbuka maneno yake machache kuwa 'IKIWEKWA WAZI KUWA PESA WALIZO PEWA KAMA MCHANGO WA SHULE NA NDUGU RUGEMALILA KUWA NI ZA WIZI AMA UDANGANYIFU WA AINA YOYOTE BASI WAO KAMA TAASISI WAKO TAYARI KURUDISHA FEDHA HIZO'
Na malipo ya escrow yametolewa baada ya mahakama kuamua mmiliki ni PAP kwa hivyo TANESCO wala mwanasheria mkuu aliye hukumiwa awakuwa na jinsi maana sheria ishasema. Walichotaka TANESCO mahakama itambue kama ulinzi wao akija mwingine kudai na yeye ndiye mmiliki wa IPTL waende kudaiana mahakamani ndio ilikuwa kigezo chao cha kutolewa hiyo hela na mahakama ikaridhia hivyo.
Hiyo mahakama inatambulika as long as nchi ni mwanachama wa WTO...Ambacho hujakizungumzia ni jurisdiction. Je hiyo mahakamani iliyoamua mmiliki ni PAP ilikuwa ina uwezo huo, na sheria iliyotumika ni sahihi? Kama Tanesco walingia mikataba kutumia English law, huwezi tu kujiamulia kutumia sheria na mahakama za Tanzania. Soma kwanza hukumu nzima.
Naona Makosa makubwa ya TANESCO ni mawili. i kuwahi kulipipa PAP kabla hata ya kusubiri hukumu juu ya capacity charge na la pili ii. Kutosubiria mgogoro wa umiliki wa IPTL iliijue exactly inamlipa mmiliki halali
Haya mambo mengine ni siasa tu! JK angekuwa ana interest humo kwanini amtake gavana kuhakikisha TANESCO hailipi mara mbili?