View attachment 3671125Hapa ni Dar Tegeta Kibaoni wafanyabiashara wanatakiwa kutoka kwenye Maeneo yao haraka iwezekanavyo.Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake usijione upo salama, tuungane kupigania haki.
ok.🐒
Hapa ni Dar Tegeta Kibaoni wafanyabiashara wanatakiwa kutoka kwenye Maeneo yao haraka iwezekanavyo.Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake usijione upo salama, tuungane kupigania haki.
Ujenzi upi?watoke ndio ili ujenzi uendelee
Watu wengi humu wana elimu ndogo na akili kisoda, hawana akili ya kuhoji mambo kama haya. Wao ni kelele na lawama tuHabari hii ilipaswa kuusikia na Upande mwengine wa hao waliowafungia hawa wafanya biashara.
Maana hapa unaweza kukuta hawa walipewa taarifa rasmi na Barua na kukumbushwa hata mpaka jana.
Ila wabongo wanapenda kuleta mazoea mengi na Ubishi. Sasa wakija kufungiwa namna hii wanakuja kuanza kulia na kujifanya kuwa ni Victims. Mara ooh, Sijui tunaonewa sijui tuna watoto au sisi ni maskini. Ila kumbe walishaambiwa Msifungue ila wakawa wabishi.
Ila all in All pole yao. Maana hasara hapo ni kubwa,
-------Mimi napenda CCM.
CCM OYEEEEEEEE
Wanipe mimi hao kuku niwafikishe kwenye vituo vya watoto yatima wasije wakawaozea ndio hasara inakuja hapo wakigawa inakua sio hasara ni faida maana wanaowagawia kwenye 10 basi 5 wanaweza wakawalipa mara 10 ya jinsi ambavyo wangeenda kutupa shimoniHabari hii ilipaswa kuusikia na Upande mwengine wa hao waliowafungia hawa wafanya biashara.
Maana hapa unaweza kukuta hawa walipewa taarifa rasmi na Barua na kukumbushwa hata mpaka jana.
Ila wabongo wanapenda kuleta mazoea mengi na Ubishi. Sasa wakija kufungiwa namna hii wanakuja kuanza kulia na kujifanya kuwa ni Victims. Mara ooh, Sijui tunaonewa sijui tuna watoto au sisi ni maskini. Ila kumbe walishaambiwa Msifungue ila wakawa wabishi.
Ila all in All pole yao. Maana hasara hapo ni kubwa,
Wafanyabiashara wadogo wawapishe wafaanyabiashara wakubwa wafanye ujenzi ndicho alichokimaanishaUjenzi upi?
Sio sahihi! Atleast wauze hizo kuku leo tu, mengine wakae chini..Wafanyabiashara wadogo wawapishe wafaanyabiashara wakubwa wafanye ujenzi ndicho alichokimaanisha
mbongo hata umpe deadline , hiyo siku ya deadline utamkuta anaendelea na pilika zakeSio sahihi! Atoeast wauze hizo kuku leo tu, mengine wakae chini..
maeneo ya wazi si mnawapa wawekezajiKama wamejenga kwenye hifadhi ya barabara waondoke hakuna namna. Kuwa maskini haimpi mtu uhalali wa kuvunja sheria kwa makusudi.