rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,905
- 9,740
Wapishe tu sabab hata wakibisha haitawasaidia kitu
Aisee! Sema maisha yetu nayo changamoto sana basi tu!mbongo hata umpe deadline , hiyo siku ya deadline utamkuta anaendelea na pilika zake
naam watawala na watawaliwa hatujapishana sanaAisee! Sema maisha yetu nayo changamoto sana basi tu!
Maboss wakipewa maeneo hatuoni hizi kelele!naam watawala na watawaliwa hatujapishana sana
Kweli kabisa yaani watu huwa wamekaliaga lawama tu muda wote. Na ilhali ukija kuchunguza unakuta wao wenyewe ndio waliokosea au wamekiuka makubaliano.Watu wengi humu wana elimu ndogo na akili kisoda, hawana akili ya kuhoji mambo kama haya. Wao ni kelele na lawama tu