rip faza_nelly JF-Expert Member Joined Feb 19, 2018 Posts 6,905 Reaction score 9,740 Sep 15, 2026 #21 Wapishe tu sabab hata wakibisha haitawasaidia kitu
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 36,315 Reaction score 104,500 Sep 15, 2026 #22 Lax said: mbongo hata umpe deadline , hiyo siku ya deadline utamkuta anaendelea na pilika zake Click to expand... Aisee! Sema maisha yetu nayo changamoto sana basi tu!
Lax said: mbongo hata umpe deadline , hiyo siku ya deadline utamkuta anaendelea na pilika zake Click to expand... Aisee! Sema maisha yetu nayo changamoto sana basi tu!
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 12,297 Reaction score 18,156 Sep 15, 2026 #23 Seran said: Aisee! Sema maisha yetu nayo changamoto sana basi tu! Click to expand... naam watawala na watawaliwa hatujapishana sana
Seran said: Aisee! Sema maisha yetu nayo changamoto sana basi tu! Click to expand... naam watawala na watawaliwa hatujapishana sana
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 36,315 Reaction score 104,500 Sep 15, 2026 #24 Lax said: naam watawala na watawaliwa hatujapishana sana Click to expand... Maboss wakipewa maeneo hatuoni hizi kelele!
Lax said: naam watawala na watawaliwa hatujapishana sana Click to expand... Maboss wakipewa maeneo hatuoni hizi kelele!
srinavas JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,331 Reaction score 4,327 Sep 15, 2026 #25 Mavipunda said: Watu wengi humu wana elimu ndogo na akili kisoda, hawana akili ya kuhoji mambo kama haya. Wao ni kelele na lawama tu Click to expand... Kweli kabisa yaani watu huwa wamekaliaga lawama tu muda wote. Na ilhali ukija kuchunguza unakuta wao wenyewe ndio waliokosea au wamekiuka makubaliano. Hivi kweli kuna watu wanaweza wakatoka majumbani kwao tu wakaenda kufunga biashara za watu bila sababu za msingi kweli.??
Mavipunda said: Watu wengi humu wana elimu ndogo na akili kisoda, hawana akili ya kuhoji mambo kama haya. Wao ni kelele na lawama tu Click to expand... Kweli kabisa yaani watu huwa wamekaliaga lawama tu muda wote. Na ilhali ukija kuchunguza unakuta wao wenyewe ndio waliokosea au wamekiuka makubaliano. Hivi kweli kuna watu wanaweza wakatoka majumbani kwao tu wakaenda kufunga biashara za watu bila sababu za msingi kweli.??