SoC03 TEHAMA imepewa kisogo na Wizara ya Afya. Je, ndoto ya huduma bora kwa kila Mtanzania itafanikiwa?

Stories of Change - 2023 Competition

MulegiJr

Senior Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
125
Reaction score
88
Wakati Rwanda inajikita katika kuboresha Matumizi ya Tehama kila eneo ambalo limekuwa na changamoto ya Tehama, usambazaji wa Dawa( kwa ndege isiyo na Rubani, Usambazaji wa Damu maeneo yasiyofikika kirahisi, usambazaji wa Chanjo katika maeneo ambayo hayafikiki kirahisi) mwana afrika mashariki mwenzetu, Tanzania inapiga hatua 10 nyuma na kuipa kisogo Tehama kwenye mazingira ambayo tunahitaji Tehama katika kuratua changamoto nyingi katika kufikisha Huduma bora kwa kila mtanzania, kipindi ambacho tunapambana kupeleka mswada wa BIMA KWA WOTE na kwa lengo kuu la kila mtanzania kuweza kupata usawa na matibabu stahiki kulingana na Kifurushi cha Bima yake, tunahitaji kutokomeza vifo vya mama na mtoto nchini tunahitaji kufikisha huduma kila kona ya nchi yetu, tunahitaji kupeleka Damu kila kona ya nchi, tunahitaji kupeleka vifaa tiba kila kona ya Tanzania, usafirishaji wa Dharura kwa mama wajawazito na watoto wachanga kufikishwa Rufaa katika Maandalizi ya haraka na uhakika.

LENGO
Kuikumbusha Serikali juu ya Jitihadi zake ambazo ilikuwa imeamua kuzichukua kuhakikisha Tehama inatawala na inachukua nafasi kubwa katika kuboresha upatikanaji wa Huduma sawa kwa watu wote maeneo yote nchini.

CHANGAMOTO KUENDESHA IDARA YA AFYA BILA TEHAMA
  1. Usambazaji wa vifaa tiba na Dawa ni eneo kubwa ambalo linaonyesha kusudi la serikali kufikia lengo la Huduma Bora kwa kila mtanzania, eneo ambalo limebaki katika njia zile zile miaka yote tangu uhuru hadi leo. Kuna halmashauri nchi hii zina magari yasiyozidi Matano magari haya yatumike na Idara zote ikiwemo ya Afya, idara hii yenye Ambulance Mbili, ambazo kuna muda zinaacha majukumu yake ya msingi na kufanya kazi ya kusambaza na kumsafirisha DMO kutokana na uhaba wa magari Ambulance inatumika kusafirisha wagonjwa na hiyo hiyo inatumika kusambaza Vifaa tiba na Dawa, kwenye halmashauri yenye Kata 25 na Vijiji zaidi ya 90, na vituo visivyopungua 50, yenye Jiografia tata ambapo kutoka kituo kimoja kwenda kingine unatumia Masaa mawili.
  2. Rufaa kushindwa kuandaliwa mazingira stahiki kabla ya kufika kutokana na kutokuwa na matumizi ya AUTOMATED Digital application kutoka kituo A-B ni moja ya sababu inayoipa serikali kutokutimiza lengo lake la kupeleka Huduma Bora ya Afya kwa watanzania, mfumo wa M-mama lengo kuu la kuokoa maisha ya mama na mtoto lakini aina ya Tehama inayotumika inahitaji miaka mingi kufikia hilo lengo la Tamisemi.
  3. Gharama kubwa kuendesha shughuli za kila siku za Vituo vyetu vya kutolea Huduma, Mfano ni lazima Idara iwe na Mafuta kila mwezi kwa ajili ya kusambaza Chanjo, Dawa , vitendanishi na kufanya usimamizi shirikishi kwa team ya afya Wilaya, kila mwisho wa mwezi lazima wasimamizi wa vituo wasafiri kwenda halmashauri/ Hospitali za wilaya kupeleka taarifa ya kila mwezi ya mwenendo wa Magonjwa (MTUHA) hii pia inaiingiza serikali kwenye gharama kubwa.
  4. Usimamizi na uthibiti wa Mapato, Eneo hili limetelekezwa kitu kinachopelekea kupoteza uhalali wa makusanyo ya kile kinachoingia kituo cha kutolea Huduma, kwa sasa ni (nini?)921 tu, vilivyo na Mfumo wa uthibiti taarifa za Vituo vya kutolea Afya (GOTHOMIS). Siyo rahisi mtu aliyepo IYUMBU awe na Fedha wiki nzima ambazo hazipo katika mfumo na asitumie Fedha mbichi, ni rahisi sana kuingia majaribuni anapokuwa na hiyo fedha ( ukizingatia hamna waasibu) katika vituo vyetu.
NINI KIFANYIKE (SOLUTION)
1. Mwekezaji tafutwe eneo la Ufungaji Wa Mifumo Ya GOTHOMIS katika Vituo vyote vya Kutolea Huduma
.
Kupata mwekezaji makini atakae saidia ufungaji wa miundombinu ya tehama katika vituo vyote nchini kama ambavvyo tunatafuta wadau katika maeneo mengine. Hii itaondoa upotevu wa Mapato, nakufanikisha kuongeza mapata yatakayofanya vituo viweze kujiendesha mijini na vijijini, tehama itaongeza uwajibikaji wa watoa huduma hususani mfumo wa GOTHOMIS ambao unatakiwa ufungwe hadi kwenye zahanati, ufungwaji wa mfumo huo utaleta Tija stahiki katika ukusanyaji wa Fedha na kupunguza upotevu na matumizi ya fedha mbichi kwenye vituo.

Na kama yupo basi mwekezaji/mdau huyu kuna namna anatakiwa kuongezewa nguvu maana kazi yake haionekani vijijini wala mijini. Picha na maelezo hapo chini ni mwaka 2018, hadi leo hakuna matokea ya mdau huyu.

NUKUU 2018: Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Wizara ya afya, Maendeleo ya jamii, jinsia, Wazee na Watoto na Taasisi isiyo ya kiserikali ya PATH chini ya Mpango wa kuboresha Matumizi ya Takwimu za Afya (Data Use Partinership -DUP) imejiwekea mikakati ya kuongeza ufanisi katika utoaji huduma ya Afya kwa kuiweka Mifumo ya TEHAMA katika ngazi ya huduma ya Afya ya Msingi ili Wananchi waweze kupata huduma bora za afya.

TEHAMA kuongeza ufanisi kwa mtumishi wa afya ngazi ya zahanati

1686857979314.jpeg

Imewekwa Tar 12th September, 2018
2. Wizara ikaribishe Ubunifu eneo la Taarifa (Wazawa wapewe nafasi ya kuonyesha uzalendo kwa nchi yao)

Ubunifu uanzie katika matumizi ya kutunza na kutuma taarifa za wagonjwa na magonjwa na shughuri nyigine zinazoendelea katika kituo husika, ujenzi, kampain mbali mbali na kumbukumbu zake kwa gharama nafuu.

Mnakumbuka mtumishi bora wa Mbeya ambae ni Mtaalumu wa Tehama? Watu kama hawa wanapewa zawadi tu na kuishia kupata zawadi lakini hawapewi nafasi ya kufanya kazi na kuendeleza ubunifu wao.
Tehama italeta Tija katika kupunguza gharama za kupeleka taarifa kila mwisho wa mwezi, pia itatoa fursa kwa vituo vinavyotoa huduma kuwa na utulivu wa kufanya kazi, na kupunguza gharama za uendeshaji wa kituo, kupunguza kusafiri kila mwisho wa mwezi au ndani ya mwezi wakati kituo kikiwa na uhaba wa watumishi.

Wabunifu waelekezwe kutegeneza mifumo itakayoishia Wilayani/mikoani kabla ya kwenda na ngazi za maamuzi (Mfumo utafanya pre-audit kabla ya kufika Wizarani) ni Imani yangu kubwa kuwa mifumo yao local italeta tija kusaidia mifumo ya wizara ambayo ni ngumu kufika vijijini na ikafanya vizuri.

3. Ndege bila Rubani, eneo la usambazaji wa vifaa tiba na dawa vijijini
Matumizi ya Ndege zisizo na Rubani, Rwanda kwa sasa inasambaza vifaa tiba na Dawa kutumia ndege zisizo na rubani, wakati tunaazimisha uchangiaji Damu kwa Watanzania kwa ajili ya kuokoa maisha ya wahitaji kama mama wajawazito na wahanga wa ajali, kuna sehemu ya nchi hii ni ngumu kuona tone la hiyo damu iliyokusanywa kwa sababu ya miundombinu ya utunzaji wa hiyo damu katika mazingira haya, serikali ikiamua kuwekeza kwenye tehama ni rahisi damu kufika kwa kutumia ndege za dharula hata katika maeneo ambayo ni ngumu kufika (HARD TO REACH AREA).

4. Mfumo wa rufaa ubadilike
Matumizi ya rufaa ya karatasi tuachane nayo twende kidijitali kuna faida nyingi kuliko mfumo huu tulionao leo ni dhaifu sana kuhamia katika Tehama itaongeza ufanisi, kupunguza vifo vya mama na mtoto, ajali na magonjwa mengine yanayohitaji uangalizi mkubwa ( intensive care) tehama ni Suluhu katika eneo hili.

Niipongeze serikali katika eneo hili imeanza kuchukua hatua kuhakiksha mama na mtoto wako salama , ambapo imeamua kuanzisha mfumo wa Dharula kwa mama na mtoto lakini mfumo huu bado unachangamoto kubwa sana kiasi ambacho unahitaji ubunifu mkubwa uweze kuleta Tija katika mikoa na wilaya zenye mazingira magumu kama vile Mbeya, Mwanza, na Singida.

Mwisho naomba kuwasilisha andiko langu, tehama italeta mapinduzi makubwa katika ufanisi wa tiba, matibabu, taarifa na itaongeza kasi ya usimamizi katika mapato yanayopotea mikononi wa watumishi katika kila kona ya nchi hii.

Piga kura tukalete mabadiliko, afya ni mifumo bora ya huduma, chezea pesa usichezee afya.
 
Upvote 18
16% ya vituo vya Afya (Health Centre) vina Wahasibu Wa kudumu, vigine havina kabisa. Katika hali kama hii ni dhahiri Nchi inapoteza mapato makubwa kupitia kukosa Usimamizi wa mapata katika vituo vya kutolea Huduma ya afya. Tehama itapunguza uhitaji wa Wahasibu na mifumo itasaidia kupunguza udaganyifu kwa Watoa Huduma.
 
Kwahiyo Tatizo hapa, mfumo ku fail sababu ni nini? Mfumo kuwa na old Formula au system
 
Tuanzie hapa mkuu, Ugumu wa Operation unakwama kulingana na system yetu kuwa outdated.? Au uwezo mdogo wa IT wa kitanzania au IT wa Serikali kuwa na mifumo ya kizamani?
Nini Kifanyike, maana Tehama ni Solution kweli kweli katika kuleta usawa wa Huduma?
 
Nimeuona baadaye sana mfumo huu,ni mpya bado haujaanza kutumika.Na umekua integrated na mifumo mingine kama elmis
Huu mfumo siyo mpya, ni mfumo wa Zamani sema Nguvu ya kuhakisha unafanya kazi ni ndogo na kuonekana kuwa mpya...by the way.. kama kitu akipo in practise ni kipya.
 
Walikaa nao,mimi nimeuona wiki moja iliyopita
 
Hapana, Hawakukaa nao, Ni gharama sana mfumo huu kuwa installed kwenye vituo vyetu, Kunahitajika Mdau kuwekeza usambae katika vituo vyetu na uweze kuleta impact. Inayokusudiwa. Na huu ndo wakati sahihi wa Serikali kufanya mapinduzi ya Healthtechnology
 
Mfumo wa sasa ambao ni cable na database unakua nayo hapohapo ndio wa gharama sana vituo vingi haviwezi kuafford.Huu wa web ndio mpya,database iko moja tu wizarani so vituo vitahitaji kuwa devices zinazopokea internet kama desktop computer,pc au kishikwambi even smartphone ambavyo ni rahisi kwa vituo vyetu kuwananavyo so kuaccess mfumo ni itakua rahisi kama kuingia JF tu.
 
Wataalum wapewe nafasi ya Kufanya Mifumo kuwa bora.
 
Matumizi ya Tehama yataongeza Uwajibikaji, ni nchi pekee ambayo bado mifumo ya Biometric inapatikana Halmashauri tu, Vituo vya Afya hamna, hospitali za wilaya hakuna, Na uko ndiko uwajibikaji unahitajika, lengo ikiwa ni uwepo eneo la kazi na kutatua Changamoto za Watu kwa haraka na kwa unafuu.
 
Why Vituo vya kutolea Huduma vya private hakuna upotevu wa mapato? Sababu ni Usimamizi Bora wa Huduma unasaidiwa na uwepo wa mifumo bora ya Tehama kila katika eneo la Huduma, Uboreshaji wa mifumo ya kitehama utaleta Uwajibikaji na kuongeza ufanisi.
 
Hongera kwa kwendelea kuwa Moja ya mafanikio ya Andiko ili, lifike mbali na likawe chachu ya nguvu katika uwekezaji wa Tehama.
 
Pumba tupu
Mimi naipongeza Nchi yetu kama ni Tehama ya drone unayoongelea iyo hata SA hawana.Sekta ya Afya kuna system ya MTUHA inahifadhi data zote.kuna system ya STG6(Standard Treatment Guide) inatoa maelekezo yote ya dawa wewe unatuletea mambo ya kusambaza dawa kwa drone UNAKICHAA??

USITUCHOSHE
 
Umeelewa au umejibu kwa mihemko, uonekane umejibu? Wapi nimeandika hatuna standard guideline za dawa? Wapi nimeonyesha uhaba wa knowledge upande wa Dawa, wapi nimeonyesha kuna uhusiano wa medication na Tehama. Soma vizuri uelewe concept, then njoo na Hoja ya Either twendelee na mfumo tulionao ni bora kuliko ninaosuggest. And so far nalenga improvement ya tulichonacho, iende speed kuliko tuliyonayo ukilinganisha na uhitaji wa tehama.
 
Uzalishaji wa taarifa sahihi za mapato, matibabu, Na vifaa tiba zitasaidia ukuwaji wa Sekta ya Afya.
 
Wakati Rwanda inajikita katika kuboresha Matumizi ya Tehama kila eneo ambalo limekuwa na changamoto ya Tehama, usambazaji wa Dawa( kwa ndege isiyo na Rubani, Usambazaji wa Damu maeneo yasiyofikika kirahisi, usambazaji wa Chanjo katika maeneo ambayo hayafikiki kirahisi) mwana afrika mashariki mwenzetu, Tanzania inapiga hatua 10 nyuma na kuipa kisogo Tehama kwenye mazingira ambayo tunahitaji Tehama katika kuratua changamoto nyingi katika kufikisha Huduma bora kwa kila mtanzania, kipindi ambacho tunapambana kupeleka mswada wa BIMA KWA WOTE na kwa lengo kuu la kila mtanzania kuweza kupata usawa na matibabu stahiki kulingana na Kifurushi cha Bima yake, tunahitaji kutokomeza vifo vya mama na mtoto nchini tunahitaji kufikisha huduma kila kona ya nchi yetu, tunahitaji kupeleka Damu kila kona ya nchi, tunahitaji kupeleka vifaa tiba kila kona ya Tanzania, usafirishaji wa Dharura kwa mama wajawazito na watoto wachanga kufikishwa Rufaa katika Maandalizi ya haraka na uhakika.

LENGO
Kuikumbusha Serikali juu ya Jitihadi zake ambazo ilikuwa imeamua kuzichukua kuhakikisha Tehama inatawala na inachukua nafasi kubwa katika kuboresha upatikanaji wa Huduma sawa kwa watu wote maeneo yote nchini.

CHANGAMOTO KUENDESHA IDARA YA AFYA BILA TEHAMA
  1. Usambazaji wa vifaa tiba na Dawa ni eneo kubwa ambalo linaonyesha kusudi la serikali kufikia lengo la Huduma Bora kwa kila mtanzania, eneo ambalo limebaki katika njia zile zile miaka yote tangu uhuru hadi leo. Kuna halmashauri nchi hii zina magari yasiyozidi Matano magari haya yatumike na Idara zote ikiwemo ya Afya, idara hii yenye Ambulance Mbili, ambazo kuna muda zinaacha majukumu yake ya msingi na kufanya kazi ya kusambaza na kumsafirisha DMO kutokana na uhaba wa magari Ambulance inatumika kusafirisha wagonjwa na hiyo hiyo inatumika kusambaza Vifaa tiba na Dawa, kwenye halmashauri yenye Kata 25 na Vijiji zaidi ya 90, na vituo visivyopungua 50, yenye Jiografia tata ambapo kutoka kituo kimoja kwenda kingine unatumia Masaa mawili.
  2. Rufaa kushindwa kuandaliwa mazingira stahiki kabla ya kufika kutokana na kutokuwa na matumizi ya AUTOMATED Digital application kutoka kituo A-B ni moja ya sababu inayoipa serikali kutokutimiza lengo lake la kupeleka Huduma Bora ya Afya kwa watanzania, mfumo wa M-mama lengo kuu la kuokoa maisha ya mama na mtoto lakini aina ya Tehama inayotumika inahitaji miaka mingi kufikia hilo lengo la Tamisemi.
  3. Gharama kubwa kuendesha shughuli za kila siku za Vituo vyetu vya kutolea Huduma, Mfano ni lazima Idara iwe na Mafuta kila mwezi kwa ajili ya kusambaza Chanjo, Dawa , vitendanishi na kufanya usimamizi shirikishi kwa team ya afya Wilaya, kila mwisho wa mwezi lazima wasimamizi wa vituo wasafiri kwenda halmashauri/ Hospitali za wilaya kupeleka taarifa ya kila mwezi ya mwenendo wa Magonjwa (MTUHA) hii pia inaiingiza serikali kwenye gharama kubwa.
  4. Usimamizi na uthibiti wa Mapato, Eneo hili limetelekezwa kitu kinachopelekea kupoteza uhalali wa makusanyo ya kile kinachoingia kituo cha kutolea Huduma, kwa sasa ni (nini?)921 tu, vilivyo na Mfumo wa uthibiti taarifa za Vituo vya kutolea Afya (GOTHOMIS). Siyo rahisi mtu aliyepo IYUMBU awe na Fedha wiki nzima ambazo hazipo katika mfumo na asitumie Fedha mbichi, ni rahisi sana kuingia majaribuni anapokuwa na hiyo fedha ( ukizingatia hamna waasibu) katika vituo vyetu.
NINI KIFANYIKE (SOLUTION)
1. Mwekezaji tafutwe eneo la Ufungaji Wa Mifumo Ya GOTHOMIS katika Vituo vyote vya Kutolea Huduma
.
Kupata mwekezaji makini atakae saidia ufungaji wa miundombinu ya tehama katika vituo vyote nchini kama ambavvyo tunatafuta wadau katika maeneo mengine. Hii itaondoa upotevu wa Mapato, nakufanikisha kuongeza mapata yatakayofanya vituo viweze kujiendesha mijini na vijijini, tehama itaongeza uwajibikaji wa watoa huduma hususani mfumo wa GOTHOMIS ambao unatakiwa ufungwe hadi kwenye zahanati, ufungwaji wa mfumo huo utaleta Tija stahiki katika ukusanyaji wa Fedha na kupunguza upotevu na matumizi ya fedha mbichi kwenye vituo.

Na kama yupo basi mwekezaji/mdau huyu kuna namna anatakiwa kuongezewa nguvu maana kazi yake haionekani vijijini wala mijini. Picha na maelezo hapo chini ni mwaka 2018, hadi leo hakuna matokea ya mdau huyu.

NUKUU 2018: Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Wizara ya afya, Maendeleo ya jamii, jinsia, Wazee na Watoto na Taasisi isiyo ya kiserikali ya PATH chini ya Mpango wa kuboresha Matumizi ya Takwimu za Afya (Data Use Partinership -DUP) imejiwekea mikakati ya kuongeza ufanisi katika utoaji huduma ya Afya kwa kuiweka Mifumo ya TEHAMA katika ngazi ya huduma ya Afya ya Msingi ili Wananchi waweze kupata huduma bora za afya.

TEHAMA kuongeza ufanisi kwa mtumishi wa afya ngazi ya zahanati

View attachment 2658925
Imewekwa Tar 12th September, 2018
2. Wizara ikaribishe Ubunifu eneo la Taarifa (Wazawa wapewe nafasi ya kuonyesha uzalendo kwa nchi yao)

Ubunifu uanzie katika matumizi ya kutunza na kutuma taarifa za wagonjwa na magonjwa na shughuri nyigine zinazoendelea katika kituo husika, ujenzi, kampain mbali mbali na kumbukumbu zake kwa gharama nafuu.

Mnakumbuka mtumishi bora wa Mbeya ambae ni Mtaalumu wa Tehama? Watu kama hawa wanapewa zawadi tu na kuishia kupata zawadi lakini hawapewi nafasi ya kufanya kazi na kuendeleza ubunifu wao.
Tehama italeta Tija katika kupunguza gharama za kupeleka taarifa kila mwisho wa mwezi, pia itatoa fursa kwa vituo vinavyotoa huduma kuwa na utulivu wa kufanya kazi, na kupunguza gharama za uendeshaji wa kituo, kupunguza kusafiri kila mwisho wa mwezi au ndani ya mwezi wakati kituo kikiwa na uhaba wa watumishi.

Wabunifu waelekezwe kutegeneza mifumo itakayoishia Wilayani/mikoani kabla ya kwenda na ngazi za maamuzi (Mfumo utafanya pre-audit kabla ya kufika Wizarani) ni Imani yangu kubwa kuwa mifumo yao local italeta tija kusaidia mifumo ya wizara ambayo ni ngumu kufika vijijini na ikafanya vizuri.

3. Ndege bila Rubani, eneo la usambazaji wa vifaa tiba na dawa vijijini
Matumizi ya Ndege zisizo na Rubani, Rwanda kwa sasa inasambaza vifaa tiba na Dawa kutumia ndege zisizo na rubani, wakati tunaazimisha uchangiaji Damu kwa Watanzania kwa ajili ya kuokoa maisha ya wahitaji kama mama wajawazito na wahanga wa ajali, kuna sehemu ya nchi hii ni ngumu kuona tone la hiyo damu iliyokusanywa kwa sababu ya miundombinu ya utunzaji wa hiyo damu katika mazingira haya, serikali ikiamua kuwekeza kwenye tehama ni rahisi damu kufika kwa kutumia ndege za dharula hata katika maeneo ambayo ni ngumu kufika (HARD TO REACH AREA).

4. Mfumo wa rufaa ubadilike
Matumizi ya rufaa ya karatasi tuachane nayo twende kidijitali kuna faida nyingi kuliko mfumo huu tulionao leo ni dhaifu sana kuhamia katika Tehama itaongeza ufanisi, kupunguza vifo vya mama na mtoto, ajali na magonjwa mengine yanayohitaji uangalizi mkubwa ( intensive care) tehama ni Suluhu katika eneo hili.

Niipongeze serikali katika eneo hili imeanza kuchukua hatua kuhakiksha mama na mtoto wako salama , ambapo imeamua kuanzisha mfumo wa Dharula kwa mama na mtoto lakini mfumo huu bado unachangamoto kubwa sana kiasi ambacho unahitaji ubunifu mkubwa uweze kuleta Tija katika mikoa na wilaya zenye mazingira magumu kama vile Mbeya, Mwanza, na Singida.

Mwisho naomba kuwasilisha andiko langu, tehama italeta mapinduzi makubwa katika ufanisi wa tiba, matibabu, taarifa na itaongeza kasi ya usimamizi katika mapato yanayopotea mikononi wa watumishi katika kila kona ya nchi hii.

Piga kura tukalete mabadiliko, afya ni mifumo bora ya huduma, chezea pesa usichezee afya.
Maisha Bila, Mifumo imara ya tehama yanatokea kama yanayoingiza Hasara NHIF, utambuzi wa Mnufaika Ni moja ya Faida kubwa, kama ikifanyiwa uwekezaji kitehama.

Kila kukicha NHIF inakamata watu na kufungia Vituo solution ni utambuzi sahihi wa Wanufaika, why not strategy and other insurance Company??
 
Tehama inaongeza Usiri wa taarifa za mgonjwa, kutoka idara moja kwenda ingine.
 
TUNAELEKEA MWISHO, MWISHO, Je Hali ya utunzaji wa kumbukumbu za malipo, wagonjwa, Ujenzi katika vituo vyetu vya kutolea Huduma zipo sawa!! Je tunaweza kukubaliana kwamba tunaweza kutumia Mifumo iliyopokuboresha utunzaji wa kumbukumbu za wateja na shughuri kadha wa kadha.
 
Back
Top Bottom