This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,198
- 5,454
Haya maneno yangu yanaweza onekana kama yasiyo na mashiko.
Ilichokitaka Israel na USA ni raia kuprotest against utawala wa AYATOLAH kitu ambacho tayari kinatokea.
Marekana anaingia vitani sasa.
Hifadhi maneno yangu.Iran haina muda kabla haikaangukia mikononi mwa Israel na USA km ikivyo Syria.