Nimefurahi umeelewa hilo kama usiku umeumbwa usiku kwa mapumziko unaweza kusema kulala ila pia wapo walinzi wanafanya kazi usiku na wafanyakazi zisizotakiwa usiku(Wezi) ila usiumize kichwa sana kama anayejipiga kichwa kwenye matofali ya kuchoma hapo. Ni ukumbi tu wakuchekesha huu! wapo wanaonuna na wapo wanaocheka kama huna meno muazime bibi kizee ya bandia au kanunue!