Tehteh inachekesha kuliko vichekesho vyote humu jamiiforum duh!

Tehteh inachekesha kuliko vichekesho vyote humu jamiiforum duh!

Pazi

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2011
Posts
2,946
Reaction score
1,815
:frusty: HAKUNA KICHEKESHO KAFANYENI KAZI HUKO MTENGENEZE PESA! KAMA HUNA KATAFUTE. MUNGU ATAWAJALIA KUPATA.
 
Ndo upuuzi wa wabongo walio wengi......nani alokwambia muda wote ni wa kutafuta pesa. Kama ni hivyo kwanini basi umeumbwa usiku.
 
Ha ha ha umekaa vibaya nimeona mk huo
 
Ndo upuuzi wa wabongo walio wengi......nani alokwambia muda wote ni wa kutafuta pesa. Kama ni hivyo kwanini basi umeumbwa usiku.

Nimefurahi umeelewa hilo kama usiku umeumbwa usiku kwa mapumziko unaweza kusema kulala ila pia wapo walinzi wanafanya kazi usiku na wafanyakazi zisizotakiwa usiku(Wezi) ila usiumize kichwa sana kama anayejipiga kichwa kwenye matofali ya kuchoma hapo. Ni ukumbi tu wakuchekesha huu! wapo wanaonuna na wapo wanaocheka kama huna meno muazime bibi kizee ya bandia au kanunue!
 
mbona ww umeanzisha upumbafu wako hapa, unafanya kazi sangapi? k^¢£{>¶&*#@
 
HAKUNA KICHEKESHO
KAFANYENI KAZI HUKO MTENGENEZE PESA! KAMA HUNA KATAFUTE. MUNGU
ATAWAJALIA KUPATA.[/QUOTE]

Bana haujatulia ww ndugu!,ni kweli asiyefanya kazi na asile
 
Ndugu @ Panzi hee imegoma,ndugu Pazi mambo vipi?
 
Last edited by a moderator:
Hatununi kwa hilo tunakucheka wewe usiejijua kama ni kichekesho.
 
Back
Top Bottom