ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nilikuwa na tatizo la mafua yasiyoisha nikapewa koflyn Sasa nilivoanza kuinywa hii sryup nikagundua inanipa usingizi mzuri Sana hata nilivyomaliza chupa ya kwanza ikabidi nikanunue chupa Nyingine nikaendelea kuinywa hata nilipopona mafua bado nikaendelea kuinywa kila siku jioni napiga ml 15 nalala usingizi mnono kwani sishtuki kabisa usiku
Sasa naelekea chupa ya nne naomba kujua Kama Kuna madhara Nitapata au haina shida niendelee tu kuinywa Kama kilevi changu.
Sasa naelekea chupa ya nne naomba kujua Kama Kuna madhara Nitapata au haina shida niendelee tu kuinywa Kama kilevi changu.