Teja wa koflyn

Teja wa koflyn

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nilikuwa na tatizo la mafua yasiyoisha nikapewa koflyn Sasa nilivoanza kuinywa hii sryup nikagundua inanipa usingizi mzuri Sana hata nilivyomaliza chupa ya kwanza ikabidi nikanunue chupa Nyingine nikaendelea kuinywa hata nilipopona mafua bado nikaendelea kuinywa kila siku jioni napiga ml 15 nalala usingizi mnono kwani sishtuki kabisa usiku
Sasa naelekea chupa ya nne naomba kujua Kama Kuna madhara Nitapata au haina shida niendelee tu kuinywa Kama kilevi changu.
images.jpeg
 
Baada ya Makonda kuifunga club billicanas ilikuwa kitovu cha madawa ya kulevya ,sasa mmehamia kwenye kofyln tena?

Duh ama kweli sikio la kufa halisikii dawa hapo ufipa.
 
Back
Top Bottom