Tekashi 69 na usaliti( snitch)

Credit wasafi?
 

Hakika Clout is not the route...

Takeshi 69 he has been doing things for Fame, Money and attention...


Cc: mahondaw
 
Amegoma... amesema akitoka hataki witness protection (WITSEC), anataka aendelee na maisha yake ya ustaa ataajiri 24/7 security, sijui kama atafanikiwa lakn wanavomhunt
 
Amegoma... amesema akitoka hataki witness protection (WITSEC), anataka aendelee na maisha yake ya ustaa ataajiri 24/7 security, sijui kama atafanikiwa lakn wanavomhunt
Shida zote za nini anakuwa mfungwa mtaani
 
Huyu Dogo alikuwa na kazi maalumu kwa magang.Bahatimbaya hawakung'amua mapema
 
Ugangstar binafsi huwa nauona kama ungese fulani tu.

Anyway huyu dogo hata akilindwa na serikali bado, gangs zinaweza teketeza familia yake yote...
 
Sahivi dogo anashine kuliko jana,usnitch umemsaidia
 
Kwanini Black community tunashabikia criminals. Nashangaa ni Akon tu ambaye amemsupport dogo kumbuka hizo gang groups zinateka na kuua mablacks wenzao na hapo hutoskia black lives matters.
 
mtoa maada huyo dogo sio wa kishua katokea ghetto tu naye kwenye familia ya chini ila anapaswa kuwa makini sana ajikende sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…