Starboywiz
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 867
- 1,455
Yeah nimekutana nayo aseeMzee kuna taarifa zmesema mshkaj kakataa ishu ya witness protection
Itoshe tuu kusema RIP in advance
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah nimekutana nayo aseeMzee kuna taarifa zmesema mshkaj kakataa ishu ya witness protection
Zamani nilikuwa namchanganya na Lil Pump (kimuonekano)Lile dude Stoopid achana nalo ni kali sana..Tatizo ana'act uhuni akati ni mlaini kama kina Lil Pump tu!
Credit wasafi?Huenda dunia ya muziki ikampoteza kabisa rapper 6ix9ine, Imeripotiwa kuwa baada ya kutoa ushahidi Mahakamani dhidi ya kundi lake la "Nine Trey Gang" ataingia kwenye utaratibu maalumu wa kulindwa na serikali baada ya kutoa ushahidi (Witness protection) kwa kuhofia maisha yake.
.
6ix9ine akiwa chini ya utaratibu huo atalazimika kubadilisha kila kitu kwenye maisha yake ikiwemo kazi, jina, mahali pa kuishi na vitu vingine, Pia atalazimika kubadilisha muonekano wake ikiwemo kuzitoa nywele zake maarufu za rangirangi na kufuta tattoo za usoni na vyote vitaghramikiwa na waendesha mashtaka.
.
Kabla ya kukubali kushirikiana na waendesha mashtaka #6ix9ine alikuwa anatazamia kifungo cha miaka hadi 49.
CREDIT: Wasafifm
Mumble rappers wengi wana usela mavi sana, halafu ni machalii wadogo tuu. Sasa kama huyo dogo alikua anafanya mambo ya ajabu ajabu unaweza ukadhan muhuni kweli, saivi kaminywa pumbu kidogo tuu anaropoka hata ambavyo hajaulizwa.
Snitch Nine amezinguuaView attachment 1213625
Trippie Redd....Bado yule dogo mwingine ambaye walikuwa wanapifu nae kajichora km yy,, Tripple
Amegoma... amesema akitoka hataki witness protection (WITSEC), anataka aendelee na maisha yake ya ustaa ataajiri 24/7 security, sijui kama atafanikiwa lakn wanavomhuntHuenda dunia ya muziki ikampoteza kabisa rapper 6ix9ine, Imeripotiwa kuwa baada ya kutoa ushahidi Mahakamani dhidi ya kundi lake la "Nine Trey Gang" ataingia kwenye utaratibu maalumu wa kulindwa na serikali baada ya kutoa ushahidi (Witness protection) kwa kuhofia maisha yake.
.
6ix9ine akiwa chini ya utaratibu huo atalazimika kubadilisha kila kitu kwenye maisha yake ikiwemo kazi, jina, mahali pa kuishi na vitu vingine, Pia atalazimika kubadilisha muonekano wake ikiwemo kuzitoa nywele zake maarufu za rangirangi na kufuta tattoo za usoni na vyote vitaghramikiwa na waendesha mashtaka.
.
Kabla ya kukubali kushirikiana na waendesha mashtaka #6ix9ine alikuwa anatazamia kifungo cha miaka hadi 49.
CREDIT: Wasafifm
Hahaha mzee tatizo hana kitu kingine zaidi ya kipaji cha mziki....sjui atafanya show wapi uyu snitchYeah nimekutana nayo asee
Itoshe tuu kusema RIP in advance
Shida zote za nini anakuwa mfungwa mtaaniAmegoma... amesema akitoka hataki witness protection (WITSEC), anataka aendelee na maisha yake ya ustaa ataajiri 24/7 security, sijui kama atafanikiwa lakn wanavomhunt
Huyu Dogo alikuwa na kazi maalumu kwa magang.Bahatimbaya hawakung'amua mapemaHuenda dunia ya muziki ikampoteza kabisa rapper 6ix9ine, Imeripotiwa kuwa baada ya kutoa ushahidi Mahakamani dhidi ya kundi lake la "Nine Trey Gang" ataingia kwenye utaratibu maalumu wa kulindwa na serikali baada ya kutoa ushahidi (Witness protection) kwa kuhofia maisha yake.
.
6ix9ine akiwa chini ya utaratibu huo atalazimika kubadilisha kila kitu kwenye maisha yake ikiwemo kazi, jina, mahali pa kuishi na vitu vingine, Pia atalazimika kubadilisha muonekano wake ikiwemo kuzitoa nywele zake maarufu za rangirangi na kufuta tattoo za usoni na vyote vitaghramikiwa na waendesha mashtaka.
.
Kabla ya kukubali kushirikiana na waendesha mashtaka #6ix9ine alikuwa anatazamia kifungo cha miaka hadi 49.
CREDIT: Wasafifm
Mmarekani mwenye asili ya puetro Rico na Mexicohivi yule dogo taifa gani?
Kwanini Black community tunashabikia criminals. Nashangaa ni Akon tu ambaye amemsupport dogo kumbuka hizo gang groups zinateka na kuua mablacks wenzao na hapo hutoskia black lives matters.Mumble rappers wengi wana usela mavi sana, halafu ni machalii wadogo tuu. Sasa kama huyo dogo alikua anafanya mambo ya ajabu ajabu unaweza ukadhan muhuni kweli, saivi kaminywa pumbu kidogo tuu anaropoka hata ambavyo hajaulizwa.
Snitch Nine amezinguuaView attachment 1213625
Dunia inaenda speed sana. Yaani katika uzi huu wote nilichoambulia hapa ni 50 Cent na R. Kelly tu basi.
Mtu kama Asap Rocky anafanya tumsahau 50
[emoji1787][emoji1787]Yaani unazidi kuniacha gizani.