Tekashi 6ix9ine ashambuliwa akiwa Gym, akimbizwa Hospitali

Tekashi 6ix9ine ashambuliwa akiwa Gym, akimbizwa Hospitali

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
718371679c2f44aab9287bdc1a437352_md.jpg

Rapa huyo anayejiita Mfalme wa #NewYork alikumbana na shambulio hilo akiwa chumba cha Mazoezi peke yake bila walinzi huko #FloridaKusini ambapo kundi la Wanaume kadhaa walimvamia na kuanza kumshushia kipigo bila kutoa sababu.

Imeelezwa kuwa #6ix9ine alijaribu kupambana nao lakini alizidiwa nguvu na kuamua kujilinda kwa kuficha uso wake hadi wahusika wa Gym walipofika alipo na kumkimbiza Hospitali kwa kutumia gari la Wagonjwa.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa Rapa huyo amepata majeraha kwenye eneo la Taya, Mbavu na Mgongo. Mwanasheria wake amesema hatua inayofuata ni kuomba ulinzi kutoka kwa Maafisa wa FBI kutokana na matishio ya usalama wake.

===============

Video has surfaced showing a portion of the attack, you see one man continuously hit Tekashi while the rapper does his best to defend his face.

Tekashi 6ix9ine was savagely beaten by a group of men inside a South Florida gym ... with injuries so bad the controversial rapper was rushed to a hospital by ambulance.

6ix9ine's attorney, Lance Lazzaro, tells TMZ ... the rapper was inside the sauna Tuesday at an LA Fitness when all of the sudden he was attacked by several guys without warning.

Lazzaro says 6ix9ine tried to fight off the combatants, but there were too many of them, beating him to a pulp before fleeing. Lance notes 6ix9ine did not have security with him at the time of the attack.

Gym staff heard the commotion and immediately notified a manager. Police and EMS were then called to the scene, and he was transported to a hospital by ambulance.

We've obtained a photo of Tekashi taken from the hospital where you can see the damage to his face -- with gashes and swelling. We're told he also suffered injuries to his jaw, ribs and his back.

The next step, Lazzaro says, is he plans to call the Feds to make sure 6ix9ine gets the protection he clearly needs. Remember, he was granted early release from federal prison after cooperating with authorities to land several of his gang member cohorts behind bars.

It's currently unclear if the gym attack had anything to do with Tekashi's cooperation.

MWANANCHI
 
Kaka ndo dunia iliko mm hata miziki ya huyu dogo sijui hata anaimba nn nimeamua kuwa muelewa kuwa MUDA MM UMENITUPA MKONO
😂😂😂 bora wewe unamjua hata. Mi kwanza nilijua ameshakufa kuna kipindi walirusha picha mtandaoni msanii anamuonekano kama wake amekufa.

Niko nyuma kweli acha niangalie ya wanangu😂
 
😂😂😂 bora wewe unamjua hata. Mi kwanza nilijua ameshakufa kuna kipindi walirusha picha mtandaoni msanii anamuonekano kama wake amekufa.

Niko nyuma kweli acha niangalie ya wanangu😂
Mm siku moja wamenitembelea wadogo zangu nakuta wako very serious na tv kujifanya na mi wamo nkaenda kukaa nao .kumbe siku hiyo et dunia imesimama kwamba huyu dogo anatoka jela wakati mm maskini ndo namsikia .kutokea najiuliza huyu taahira ndo 2pac nkaenda kulala nikijua ZAMA ZANGU KWISHA
 
Haya sasa🤣 mi tv yenyewe siangalii msanii ntamjua saa ngapi🤣
 
Back
Top Bottom