Tekashi 6ix9ine ashambuliwa akiwa Gym, akimbizwa Hospitali

Tekashi 6ix9ine ashambuliwa akiwa Gym, akimbizwa Hospitali

69 bila ya ulinzi mkali atakuja kugongwa chuma tu
Na bahati mbaya sana 50cent ni kama anamkubali sana dogo
Rejea beef za 50 na watu wa NY ma papa akina McGriff na wahuni wengine wa wanaotokea NY hasa pande za Queens
Tevkash his days are numbered
Basi aje jamhuri ya wadanganyika aje kusaidiana nasi kujenga nchi.
 
Huyu msanii ukiingia u tube views zake ni balaaa. Zile views ni za kweli?
 
Haka ka snitch lazima kale chuma muda utaongea wazungu wanaubaguzi sana uyo wana mlinda coz mweupe mwenzao ma dogo ma black daily wanakula vyuma ila hiyo FBI wana mlinda coz ni pandikizi lao.
 
Back
Top Bottom