Tekashi 6ix9ine ashambuliwa akiwa Gym, akimbizwa Hospitali

Tekashi 6ix9ine ashambuliwa akiwa Gym, akimbizwa Hospitali

Lilikuwa suala la muda tu huyu dogo nadhani hili ni onyo tu ila watakuja kumpiga shaba .Aliwahi kuwasnitch wenziwe Kwa kuwataja kuwa ni madrug dealer wakati yupo nao.
Nilitarajia kukuta mtu 'more detailed' kama wewe, safi sana
 
Lilikuwa suala la muda tu huyu dogo nadhani hili ni onyo tu ila watakuja kumpiga shaba .Aliwahi kuwasnitch wenziwe Kwa kuwataja kuwa ni madrug dealer wakati yupo nao.
69 bila ya ulinzi mkali atakuja kugongwa chuma tu
Na bahati mbaya sana 50cent ni kama anamkubali sana dogo
Rejea beef za 50 na watu wa NY ma papa akina McGriff na wahuni wengine wa wanaotokea NY hasa pande za Queens
Tevkash his days are numbered
 
Uongo upi mkuu?
Tekashi ndiye mtu alieumbua gang nyingi za madawa ya kulevya na crew nying za steppers zinamwinda sana...
FBI walitangaza wao,nenda kafatili acha kukurupuka
Ni kweli Tekashi ali-snitch akapewa kifungo chepesi. Idea kwamba FBI inamlinda ni upotoshaji. Snitches huwa wanapewa option ya kuingia kwenye witness protection program ambapo unapewa identity mpya na unahamishiwa state nyingine ambako hufahamiki. Tekashi hakuwa kwenye hiyo ptogramu. FBI kamwe hawawezi kukulinda ukiamua kurudi kitaa.
 
Hawa wasanii wana dharau na shtyshyt sana
Kujigamba nk,masela hawawezi kuwaelewa

Ova
 
Kaka ndo dunia iliko mm hata miziki ya huyu dogo sijui hata anaimba nn nimeamua kuwa muelewa kuwa MUDA MM UMENITUPA MKONO
Hata anachoimba hakieleweki

Hawa ndiyo kutwa kutembea na maburungutu ya hela,wakijigamba wao pesa ipo na wengine ni wachovu
Wahuni lazima wammind

Ova
 
😂😂😂 bora wewe unamjua hata. Mi kwanza nilijua ameshakufa kuna kipindi walirusha picha mtandaoni msanii anamuonekano kama wake amekufa.

Niko nyuma kweli acha niangalie ya wanangu😂
Haya waachie kina junia,stage ilishatutupa mkono.
Kuna umri ukiingia club wanakushangaa ulichelewa wapi
 
Back
Top Bottom