TEKEU hakuna wahadhiri wa history,Waalimu kutoka Secondary kufundisha chuo kikuu.

KALOKAGATHOS

Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
38
Reaction score
6
Hali ni mbaya saana hususan kwa mwaka wa pili, course kama THT 453 na THT 454 mambo hayaeleweki,kama imefikia hatua ya kuchukua waalimu wa sekondari kufundisha chuo kikuu mbona majanga? kuna mwalimu mmoja anafundisha Sinde Secondary form III Literature, eti anafundisha TEKU,chuo kikuu kufundishwa na Diploma,jamani Serikali naomba muingilie kati swala hili.Hakuna madarasa ya kutosha,TEKU wanafunzi wanasoma chini ya mti,wamekazania kujenga Hosteli kibao tena za magorofa wakati wahadhiri hawapo wala viti,madarasa na vitabu.TCU mmejichanganya vipi mpaka mnaleta wasomi wa nchi hii kuteseka huku uchochoroni?,kama hata Diploma wamekosa ajira kisa chuo hakijasajiliwa na bado hakuna kinachofanyika vipi mnataka mgomo na maandamano ndo mfunge chuo hiki? Library ni kubwa lakini hakuna vitabu vya maana.
 

Attachments

  • ABC.jpg
    27.9 KB · Views: 321
  • IMG0244A.jpg
    8.7 KB · Views: 325
  • LIBRARY.jpg
    37.2 KB · Views: 306
Unalalamika nn kati nulipata ufaulu mdogo wa kiwango cha ees, hama uje udsm kama unaubavu kama hauna ubavu kubali matokeo ya kufundishwa na diploma holder,anya way pole sana ila history haina jipya takribani maada zake ni za o and advanced
 
Jamani tumefika mahala diploma anafundisha chuo kikuu? Au mzaha? Sizani kama hii taarifa ina ukweli. Kama kweli basi hicho chuo kimefariki.
 
ha ha ha ha ha hahahahahahahahaha ha ha ha ha ha hahahaha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha teh teh teh uwiiiiiiiii...hahaha !!! Mleta uzi unachoongea ni.......au jelous tuu na chuo chetu
 
ha ha ha ha ha hahahahahahahahaha ha ha ha ha ha hahahaha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha teh teh teh uwiiiiiiiii...hahaha !!! Mleta uzi unachoongea ni.......au jelous tuu na chuo chetu

chuki,ghilba,fitina
 
umeona mkuu wana chuki kweli na chuo chetu, wee waache tuu hawajui kama chuo ni chuo heshima mtaani etiii

Ndo maana nimesema kwamba akili na maarifa yako vitakusaidia haijalishi upo chuo gani,
 
Hicho sio chuo kikuu ni seködari kuu huyo mwalimu wa kidato cha tatu hana fimbo hapo?ngoja akuone unachat atakuchalaza
 
hicho tekeu kipo wpi tanzania hii half ngoja tukueleweshe kidogo bwana mdogo mwl anaweza akafundisha shule ya msingi na chuo kikuu hta kama ni udsm ilimradi tu awe sbb anaweza akawa na phd lakin chet cha grd A anacho kwa kumalizia huyo mwalimu mwenye diploma atakuwa anafundisha chekechea pale teku manaake ipo kama sivyo tupia jina lake hapa
 

uandishi wako huu
 
Jamani tumefika mahala diploma anafundisha chuo kikuu? Au mzaha? Sizani kama hii taarifa ina ukweli. Kama kweli basi hicho chuo kimefariki.

Acha na kuwa na fikra mbovu na dhana potofu,sio kila unavyodhania anayefundisha sekondari hawez kuwa mwl.wa chuo,kumbuka kuna walimu wanafundisha sekondari wana phd. Mfano pale kihonda sec. school (morogoro)kuna mama mwl. pale wa kuajiriw alijiendeleza ,lakini anafundisha SUA chuo kikuu,muheshimu huyo mwl.wote tusoma vyuon humo humo
 

udsm unaijua mziki wake au unaiona kwenye tv? Mwalimu wa primary afundishe udsm? Acha utani mwana mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…