KALOKAGATHOS
Member
- Jul 9, 2013
- 38
- 6
Hali ni mbaya saana hususan kwa mwaka wa pili, course kama THT 453 na THT 454 mambo hayaeleweki,kama imefikia hatua ya kuchukua waalimu wa sekondari kufundisha chuo kikuu mbona majanga? kuna mwalimu mmoja anafundisha Sinde Secondary form III Literature, eti anafundisha TEKU,chuo kikuu kufundishwa na Diploma,jamani Serikali naomba muingilie kati swala hili.Hakuna madarasa ya kutosha,TEKU wanafunzi wanasoma chini ya mti,wamekazania kujenga Hosteli kibao tena za magorofa wakati wahadhiri hawapo wala viti,madarasa na vitabu.TCU mmejichanganya vipi mpaka mnaleta wasomi wa nchi hii kuteseka huku uchochoroni?,kama hata Diploma wamekosa ajira kisa chuo hakijasajiliwa na bado hakuna kinachofanyika vipi mnataka mgomo na maandamano ndo mfunge chuo hiki? Library ni kubwa lakini hakuna vitabu vya maana.