TEKEU hakuna wahadhiri wa history,Waalimu kutoka Secondary kufundisha chuo kikuu.


Mfano wako mzuri kweli, nitajie jina la huyo lecture wa SUA uliemtaja.
 
Unalalamika nn kati nulipata ufaulu mdogo wa kiwango cha ees, hama uje udsm kama unaubavu kama hauna ubavu kubali matokeo ya kufundishwa na diploma holder,anya way pole sana ila history haina jipya takribani maada zake ni za o and advanced

wewe utamaliza na g.p.a ya 2.1 kama ya mkuu wa kaya.. inaonekana unasoma madaftari ya a-level.. unachekesha.. kama kweli huko udsm.. akina sago na zoto..watakupa makalai ya kutosha..
 
kufundisha sekondari si hoja kwani kuwa walimu wana masters na wapo sekondari. sio walimu wote wa sekondari ni diploma holders
 
Jamani tumefika mahala diploma anafundisha chuo kikuu? Au mzaha? Sizani kama hii taarifa ina ukweli. Kama kweli basi hicho chuo kimefariki.

For sure mtoa mada kadanganya,hajui kuwa sekondari siku hizi kuna walimu kibao ni masters holders
 
Ndugu we soma maliza,acha kulala.Wenzio twataka kuja hapohapo.Hebu nisaidie kuulizia kozi ya Diploma in Librarianship ipo mwezi July?Maana kwenye web sioni.
 
udsm unaijua mziki wake au unaiona kwenye tv? Mwalimu wa primary afundishe udsm? Acha utani mwana mdogo.

Inawezekana sana kama aliyekuwa ofisi attendant kaweza kuwa lab scientist tena mwenye PHD kwanini mwalimu wa Shule ya msingi ashindwe kufundisha,muwe mnaangalia zile prospectus then angalia CV za malecturer utakuta wengine walianza na certificate.
 
wapo walimu wenye masters wanafundisha sekondari ,kwa hiyo muache kukariri
 
Sio sekondari tu,kuna walimu wa shule za msingi wanamasters na wana sifa za kufundisha chuo kikuu,huyu jamaa vipi?
 
Me nimefundishwa Advance na mwal wa Masters tena alikuwa anasoma PHD pale UDSM. Kwa ujumla walimu wengi hasa wale wa zamani wamejiendeleza sana
 
Jamani mpaka nimeandika makala haya nina uhakika,mnabishia wakati mimi nawajua mwanzo mwisho?, Wahadhiri wa ukweli wameondoka kisa Teku imeshindwa kuwalipa mshahara wafanyakazi wake. DVCAA ana majungu kama nini,kuna Walimu wengine tulikuwa nao TP mwaka jana,huko mashuleni kwao ni majanga,kwanza lugha haipandi,akiongea kiingereza utabaki mdomo wazi,yaani past tenses utazikuta kwenye future,halafu mtu kama huyo ni role model na ni mhadhiri.Hivi nyie mnaocomment mmefika chuo kikuu au mnawashwa tu? nani kati yenu amewahi kusoma hapa TEKU? Nani anamfahamu MWANDETE? Sio kulalamika tu na kukataa ukweli.kama vipi funga safari uje TEKU-MBEYA.kwanza ukifika unaweza kutapika,Reception ni banda la kufugia Mbuzi,kuna Darasa moja tu,nalo ni kama Jeneza hivi.Acha kubishia,Njoo Mbeya ujionee.
 
Bora hao wamejiendeleza,nani kakwambia kuwa hawa wa Teku nao wamejiendeleza?
 
We utakuwa umelewa tena Pombe za kienyeji,ni mwalimu yupi mwenye masters anafundisha Primary? sidhani kama hata hiyo Masters unaifahamu,by the way,wewe umefikia darasa la ngapi?
 
Ukisema kwako kunaungua kwa mwenzio jua kunateketea Kuna chuo kikuu kiko Moshi ni aibu tupu,ni chuo cha bible lakn na Degree ya Elimu ndo tunaisomea hapa ndo campus ya Wanaosomea BED ukfika hautaamin Bora shule yangu ya kata niliyosoma ina majengo mazuri noumaaa lakn mwsho wa siku Watu wanapata Degree nakuajiliwa serikali na private school majengo n kawaida cha msingi Taaluma basi!
 

sizani kama upo timamu.
 

duh mkuu itabidi tuku verify aisee umeharibu jukwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…