TEKEU hakuna wahadhiri wa history,Waalimu kutoka Secondary kufundisha chuo kikuu.

Hahahahah hapana bwana majumuisho atafanya nani?

Yawezekana ni mpigamsuli kaja kivingine.

Kuna walimu kibao pale mbeya wana MA and still wanafundisha sekondari. Nimemaliza Sangu high school nikafundishwa na mwalimu mwenye MA(Mr.Mbeya r.i.p) na wengine kibao niwajuao. Huyu dogo atakua yuyule Wa MUCCObs.
 

Hahahah jamani sio mpigamsuli huyo anaonekana wa huko huko Mbeya ila uelewa wake ni mdogo kwani hao TEKU kuliko wachukue mwl. Wa diploma si wangebakisha graduates wao tuu? Huu ni uongo na usemayo ni kweli kuwa kuna walimu wana MA. Wapo sekondari na ndio maana nikasema uelewa wa mleta mada ni mdogo sana na hatustahili kubishana nae....
Mpigamsuli kaelimika now hataki ujinga teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
We utakuwa umelewa tena Pombe za kienyeji,ni mwalimu yupi mwenye masters anafundisha Primary? sidhani kama hata hiyo Masters unaifahamu,by the way,wewe umefikia darasa la ngapi?

Mbona wapo kibao tu kamanda!mfano mwl Mbaga wa Amani shule ya msingi Dodoma manispaa ana Masters!Ukihitaji ntakutajia wengine kibao,acha ubishi na dharau kamanda!
 

Mkuu Pest very true, hata UDSM wapo Prof. ,PhD na Ass. Lect ambao walikuwa walimu tena wa primary! Infact ukichunguza CV nyingi za Lecturers wengi wa Universities nyingi hapa nchini walikuwa walimu, mimi nafikiri ni just mis-conception juu ya hiyo taaluma.

Alafu pia kuna lecturers wa Udsm walikuwa wameajiriwa hapo lakini walikuwa wanafundisha part time sec. schools.So, ni vema huyo jamaa akafanya research may be huyo mwalimu wa History ameshafanya Masters na anafundisha sec. kama part time.

Alafu kuna dhana kwamba wanaosoma ualimu wamefeli, mimi nafikiri watu wabadilike maana kuna watu walikuwa wanachukua Education nimesoma nao core course lakini walikuwa wanaperfom vizuri sana tu na tena walikuwa na same cut off points sec school!

wengine wanasoma edu. kutokana na mahali walikotoka, pata picha mtu katokea zake huko kantalamba afu anakuja udsm anasoma statistics na hana networking na mtu yeyote hapa mjini unafikiri ataipata wapi hiyo ajira?

c.c rolla kimpe KALOKAGATHOS

 
We mleta mada naona unaandika uongo kibao humu, mi nipo hapa TEKU-BEDMATHS, lakini nakushangaa maneno yako ni kama walimu wote hapa wanadiploma.
Nakushangaa unaongelea hadi reception, inahusika vipi na content unayoipata darasani?? Hii ndo inanionyesha kuwa umekuja humu kimajungu na kimbea.
Kama unauhakika na unayoyasema, weka CV za hao waalimu unaodai wadiploma na wanafundisha hapa TEKU, ukishindwa kuweka jua wewe ni mbea kama wambea wengine, na utulie usome sio unakuja kupoteza muda kuandika ujinga humu.
 
Marcel salutari s./msingi karatu ama m.a.lkn anafundisha primar.mleta mada anachuki binafsi na chuo chetu cha kata.
 
Unalalamika nn kati nulipata ufaulu mdogo wa kiwango cha ees, hama uje udsm kama unaubavu kama hauna ubavu kubali matokeo ya kufundishwa na diploma holder,anya way pole sana ila history haina jipya takribani maada zake ni za o and advanced
Be a GT. This is not the way we do respond to others concern. At least show some senses to the problem if not to the person himself.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…