Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
duh mkuu itabidi tuku verify aisee umeharibu jukwaa
Hahahah tafadhali bwana Yale ya msuli yasirudi tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh mkuu itabidi tuku verify aisee umeharibu jukwaa
Una akili ya kuku na ipo kwapanisizani kama upo timamu.
Hahahah tafadhali bwana Yale ya msuli yasirudi tena
MKUU TUNAKUNOMINATE ujitoe mhangaa
Hahahahah hapana bwana majumuisho atafanya nani?
wee mverify mtu bhanaaaa halafu tunawaPM MODS wakae kimya kama masaa 10
Hahahahah hapana bwana majumuisho atafanya nani?
Yawezekana ni mpigamsuli kaja kivingine.
Kuna walimu kibao pale mbeya wana MA and still wanafundisha sekondari. Nimemaliza Sangu high school nikafundishwa na mwalimu mwenye MA(Mr.Mbeya r.i.p) na wengine kibao niwajuao. Huyu dogo atakua yuyule Wa MUCCObs.
We utakuwa umelewa tena Pombe za kienyeji,ni mwalimu yupi mwenye masters anafundisha Primary? sidhani kama hata hiyo Masters unaifahamu,by the way,wewe umefikia darasa la ngapi?
Acha na kuwa na fikra mbovu na dhana potofu,sio kila unavyodhania anayefundisha sekondari hawez kuwa mwl.wa chuo,kumbuka kuna walimu wanafundisha sekondari wana phd. Mfano pale kihonda sec. school (morogoro)kuna mama mwl. pale wa kuajiriw alijiendeleza ,lakini anafundisha SUA chuo kikuu,muheshimu huyo mwl.wote tusoma vyuon humo humo
Naunga mkono hoja.msamehen bure mtoa hoja,siajab ndo wale pre entry walohurumiwa na tcu.
Naunga mkono hoja.msamehen bure mtoa hoja,siajab ndo wale pre entry walohurumiwa na tcu.
Mi nasubiri tu KALOKAGATHOS aje na CV za hao waalimu, akiendelea kubishana humu na jazba zake ndo atadhihirisha uongo wake.
PAROKO inaonekana umekomaa kiakili,wewe unaweza ukawa na uchungu na elimu ya bongo,pamoja saanaElimu ya tanzania ni mjanga
Be a GT. This is not the way we do respond to others concern. At least show some senses to the problem if not to the person himself.Unalalamika nn kati nulipata ufaulu mdogo wa kiwango cha ees, hama uje udsm kama unaubavu kama hauna ubavu kubali matokeo ya kufundishwa na diploma holder,anya way pole sana ila history haina jipya takribani maada zake ni za o and advanced