jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Bila shaka kama nchi tumekuwa out-paced na ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano na mitandao ya kijamii. Leo hii kila mtanzania ikiwemo viongozi,vyombo vya serikali ikiwemo vya ulinzi na usalama wapo watsapp, tiktok, google, Instagram n.k.
Mawasiliano yote au almost yote katika shughuli za kiserikali, kijamii, kielimu, kitakwimu n.k yapo mtandaoni.
Hii ni hatari ambayo sioni ikifanyiwa kazi "kisera" ili kulinda japo kidogo usiri wa Serikali na jamii.
Waziri husika ni vyema akakaa na wataalamu kuja na suluhisho otherwise we are all naked infront of hawa mabwana wakubwa.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA