jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
- Thread starter
- #21
huo ndio ubaya...ila sisi kama wazee inatupasa tuwatumie vijana wetu vizuri kwa kuwaonesha hii weakness tuliyoifanya sasa kazi ni kwao kuisahihisha....motivation kwao ni kuwa wasijihisi hawawezi wapambane kuanzia leo kupata suluhu...sisi tunaelekea kumaliza muda wetu tutawaacha wao na vijana wenzeo wa ughaibuni.Tungependa kuona wanashinda hii vita ya muda mrefu.Watu wakipewa hii tenda ya kujenga mfumo wa ulinzi kiteknolojia watafikiria kwanza takrima na ten percent!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!