Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria zote baada ya JPM zime kuwa neutralized kuruhusu wewe na mwingine taarifa ziwe wazi ijapokuwa kuna sheria ya kulinga taarifa ambazo ni geresha tuBila shaka kama nchi tumekuwa out-paced na ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano na mitandao ya kijamii. Leo hii kila mtanzania ikiwemo viongozi,vyombo vya serikali ikiwemo vya ulinzi na usalama wapo watsapp, tiktok, google, Instagram n.k.
Mawasiliano yote au almost yote katika shughuli za kiserikali, kijamii, kielimu, kitakwimu n.k yapo mtandaoni.
Hii ni hatari ambayo sioni ikifanyiwa kazi "kisera" ili kulinda japo kidogo usiri wa Serikali na jamii.
Waziri husika ni vyema akakaa na wataalamu kuja na suluhisho otherwise we are all naked infront of hawa mabwana wakubwa.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA