Bila shaka kama nchi tumekuwa out-paced na ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano na mitandao ya kijamii.
Leo hii kila mtanzania ikiwemo viongozi,vyombo vya serikali ikiwemo vya ulinzi na usalama wapo watsapp,tiktok ,google ,Instagram n.k.
mawasiliano yote au almost yote katika shughuli za kiserikali,kijamii,kielimu,kitakwimu n.k yapo mtandaoni.
hii ni hatari ambayo sioni ikifanyiwa kazi "kisera" ili kulinda japo kidogo usiri wa Serikali na jamii.
Waziri husika ni vyema akakaa na wataalamu kuja na suluhisho otherwise we are all naked infront of hawa mabwana wakubwa.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
ni zaidi ya hatariHatari snaa
Kwani hawapigi stop Instagram na FacebookUmeongea kitu Cha Msingi sana!!
Wakati Marekan na Ulaya inapiga marufuku Viongozi wake kuacha kutumia TikTok
Sisi huku...
Kwa sababu ni Mali yaooo , kama ambavyo Uruai na Uxhina walivyopiga stop Facebook!!!Kwani hawapigi stop Instagram na Facebook
Watu wakipewa hii tenda ya kujenga mfumo wa ulinzi kiteknolojia watafikiria kwanza takrima na ten percent!Bila shaka kama nchi tumekuwa out-paced na ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano na mitandao ya kijamii. Leo hii kila mtanzania ikiwemo viongozi,vyombo vya serikali ikiwemo vya ulinzi na usalama wapo watsapp, tiktok, google, Instagram n.k.
Mawasiliano yote au almost yote katika shughuli za kiserikali, kijamii, kielimu, kitakwimu n.k yapo mtandaoni.
Hii ni hatari ambayo sioni ikifanyiwa kazi "kisera" ili kulinda japo kidogo usiri wa Serikali na jamii.
Waziri husika ni vyema akakaa na wataalamu kuja na suluhisho otherwise we are all naked infront of hawa mabwana wakubwa.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA