huo ndio ubaya...ila sisi kama wazee inatupasa tuwatumie vijana wetu vizuri kwa kuwaonesha hii weakness tuliyoifanya sasa kazi ni kwao kuisahihisha....motivation kwao ni kuwa wasijihisi hawawezi wapambane kuanzia leo kupata suluhu...sisi tunaelekea kumaliza muda wetu tutawaacha wao na vijana wenzeo wa ughaibuni.Tungependa kuona wanashinda hii vita ya muda mrefu.Watu wakipewa hii tenda ya kujenga mfumo wa ulinzi kiteknolojia watafikiria kwanza takrima na ten percent!
Hana Lolote Jipya Yote TumeletewaKwahio unataka kusema je
Marekani ilidukua simu ya Angela Merkel na viongozi wengine ulaya,urusi ilidukua barackberry ya barrack Obama..labda Kama unashauri turudi enzi za analogy benki na vitabu ili utoe pesa na mawasiliano yawe kwa barua tuUmeongea kitu Cha Msingi sana!!
Wakati Marekan na Ulaya inapiga marufuku Viongozi wake kuacha kutumia TikTok
Sisi huku...
Official docs za nani!?Official docs kuskaniwa na cam scanner bado haijakustua?
Ukiona nchi inayumba ujue taasisi ya usalama wa taifa iko na shida!!Bila shaka kama nchi tumekuwa out-paced na ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano na mitandao ya kijamii. Leo hii kila mtanzania ikiwemo viongozi,vyombo vya serikali ikiwemo vya ulinzi na usalama wapo watsapp, tiktok, google, Instagram n.k.
Mawasiliano yote au almost yote katika shughuli za kiserikali, kijamii, kielimu, kitakwimu n.k yapo mtandaoni.
Hii ni hatari ambayo sioni ikifanyiwa kazi "kisera" ili kulinda japo kidogo usiri wa Serikali na jamii.
Waziri husika ni vyema akakaa na wataalamu kuja na suluhisho otherwise we are all naked infront of hawa mabwana wakubwa.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Umeongea kitu Cha Msingi sana!!
Wakati Marekan na Ulaya inapiga marufuku Viongozi wake kuacha kutumia TikTok
Sisi huku...
Official docs za nani!?
huo ndio ubaya...ila sisi kama wazee inatupasa tuwatumie vijana wetu vizuri kwa kuwaonesha hii weakness tuliyoifanya sasa kazi ni kwao kuisahihisha....motivation kwao ni kuwa wasijihisi hawawezi wapambane kuanzia leo kupata suluhu...sisi tunaelekea kumaliza muda wetu tutawaacha wao na vijana wenzeo wa ughaibuni.Tungependa kuona wanashinda hii vita ya muda mrefu.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
huo ndio ubaya...ila sisi kama wazee inatupasa tuwatumie vijana wetu vizuri kwa kuwaonesha hii weakness tuliyoifanya sasa kazi ni kwao kuisahihisha....motivation kwao ni kuwa wasijihisi hawawezi wapambane kuanzia leo kupata suluhu...sisi tunaelekea kumaliza muda wetu tutawaacha wao na vijana wenzeo wa ughaibuni.Tungependa kuona wanashinda hii vita ya muda mrefu.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Hii kitu inaitwa AI ni jambo la hatari sana...yaani mtandao kwa sasa unaweza kukuletea na kuchuja threads ulizoziowea kufuatilia ...kama vile mind reading .#MshanaJr haya mambo walifanya mababu zetu tu
Nigeria ndio nimeona wanajenga database center. Hata Urusi huwa inavutana na makampuni ya Marekani kuhifadhi data za users wa Russia ndani ya nchi yao sembuse sisi.
Serikali haina ubavu wa kuiamrisha Meta, Alphabet au Apple kuhifadhi data za Watanzania nchini.