Teknolojia imetuweka uchi, Taarifa zetu binafsi zipo ughaibuni. Sera ya Ulinzi wa taarifa ipitiwe

Sheria zote baada ya JPM zime kuwa neutralized kuruhusu wewe na mwingine taarifa ziwe wazi ijapokuwa kuna sheria ya kulinga taarifa ambazo ni geresha tu
 
Sheria ya faraga na utu wa mtu kulindwa imefutwa ?!
 
Bora hata Naibu Waziri wa hiyo Wizara kuliko huyo Waziri,yule Mama ni Mhandisi angalau shule ipi kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…