Arnold Kalikawe
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 152
- 374
Inafika kipindi inabidi tukubaliane na mabadiliko ya dunia hii. Hatuwezi kuishi kwenye dunia kama babu zetu ama nyani wa msituni. Ni lazima tukubaliane na matakwa ya dunia yanavyotutaka kwa sababu ndipo tunapoelekea na kulazimishwa kuishi.
Watawala wa dunia kwanza walitutaka tuwe bize sana. Unajua kama unakumbuka miaka ya tisini, dunia ilikuwa na muamko mkubwa sana wa dini zetu, kulikuwa na mikutano ya dini kila kona, watu walikuwa wakiabudu kwa nguvu kubwa.
Kipindi kile hata kule kwetu Mwanza though nilikuwa mdogo sana lakini walikuwa wanafanya miadhara mingi ya Kikristo na Kiislamu, watu wanakusanyika na kusikiliza, Mchungaji au shekhe amesimama pale na kutoa mahubiri au mawahidha yake, mambo yalikuwa safi kabisa.
Unasikia pale uwanja wa furahisha opposite na Rock City Mall au pale uwanja wa CCM Kirumba kuna mhubiri atakuja kuhubiri, matangazo mengi, watu wanakusanyika, wanahubiriwa, miujiza inatendeka, vitu hivyo vipo wapi now? Mwamko umefia wapi? Ni watu wamekuwa watakatifu sana kiasi cha kutotaka tena hiyo mikutano?
Ni watu wamekuwa watakatifu kiasi cha kutotaka kusikia ile miadhara tena? Mwaka wa 20 now kwenye viwanja vilevile nyumbani sijawahi kuona miadhara tena wala mikutano. Kila kitu kimekufa? Ama watu ni watakatifu sana?
Hapana.
Dunia imembadilisha kila mmoja.
Imembadilisha mchungaji, ikambadilisha shekhe, na ikatubadilisha sisi wenyewe. Yaani dunia inapotaka wewe uende huku, hata uwe mtu wa dini, utakwenda tu. Na usipokwenda, utaitwa mshamba.
Kwani leo mtu akikwambia situmii Instagram, Facebook, si huwa unamuona mshamba? Ama nadanganya? Nyie si ndiyo mnawaitaga watu washamba kisa hawatumii Twitter? So ili uwe mjanja, unatakiwa kutumia mitandao, si ndiyo?
Wakati mitandao inaingia, makanisani na misikitini tuliambiwa ni mitandao ya kishetani, hatutakiwi kuitumia kwa kuwa ni kazi ya kishetani, ni kweli, ulikuwa mpango wa shetani, ila leo vipi? Unajikuta na wewe umetekwa na kazi ya kishetani. Unahudhuria sana mitandaoni kuliko katika nyumba za ibada.
Hebu cheki kwenye simu yako ile sehemu inayokupa taarifa umetumia muda gani kwenye mitandao ya kijamii, halafu pia jitafakari umetumia muda gani kuzungumza na Mungu wako. Utajikuta asilimia kubwa ya maisha yako unatumia mitandao kuliko hata kumtafakari Mungu.
Ndiyo!
Sasa ukisikia ile usimuabudu Mungu mwingine zaidi yangu, basi ndiyo hii.
Kesho unakaa kijiweni na kusema Wahindi wanaabudu sana Masanamu, Wachina wanaabudu sana ng’ombe, lakini husemi kwamba wewe unaabudu sana mitandao ya kijamii.
Simu ni maendeleo makubwa lakini ni kazi moja ya kutuweka mbali na Mungu wetu. Simu zimepunguza umoja, ukaribu, sasa hivi kwa sababu ya simu, hatutaki hata kukutana na kuzungumza, na tukifanya hivyo kila mtu anakuwa bize na simu yake. Mtu anashinda JamiiForum, mtu anashinda Instagram, YouTube, Facebook, Twitter, Tiktok, mitandao ya kubet, ofisi za kubet.
Ni maendeleo makubwa ila yanatuweka mbali na Mungu wetu. So baada ya misikitini na makanisani kuisema mitandao ya kijamii, siku hizi nao wanaitumia kuiendeleza kazi ya Mungu. Dunia inapoamua kubadilika, na wewe badilika.
Sarafu ya mtandao inakuja kasi sana, hili ndilo pigo la mwisho la shetani. Hii sarafu imeanzishwa na mtu asiyejulikana, hakuna anayejua alianzisha kwa lengo gani, dunia ishaanza kukimbilia huko, wanataka kuitoa dunia kwenye kutumia pesa za noti ama sarafu na waingize hizi sarafu za mtandaoni. Unajua kwa nini?
Ukisoma Biblia inakwambia katika kipindi cha mpinga kristo kutakuwa na chapa ya mnyama na itasomeka 666. Hii ndiyo chapa ambayo itakuruhusu wewe kuuza, kununua na kufanya mambo mengine, bila kuwa na hii chapa inamaanisha hutoweza kufanya lolote lile.
Sasa utawezaje kutumia namba 666 na wakati una pesa mkononi? Wanakuondolea hiyo pesa ya mkononi na kukuletea pesa ya kidigitali ambayo sasa hutoweza kuitumia bila kuwa na hiyo chapa.
Why 666?
Huko nyuma si niliwahi kukwambia mambo ya namba? Na nikasema namba 6 ni namba ya ukamilifu! Kwamba Mungu aliiumba dunia kwa siku 6, yaani alikamilisha dunia siku ya 6, ikakamilika na ya 7 akapumzika. So wao wanakuja na hii namba kuonyesha ukamilifu wa kila kitu.
So dunia inatulazimisha kumtumikia shetani bila kujua. Mbaya zaidi teknolojia zote zinazofanyika huwa zinafanywa na hawa watu. Yaani wao wanatawala fikra zetu, akili zetu na kila kitu kupitia vitu vyao wanavyovianzisha.
Tupo katika cycle moja mbaya sana, na tunazunguka kwenye matrix bila kujua, tumejaa kwenye mfumo wao na kutufanya chochote wakitakacho.
Hawa watu kila kitu wanachokihitaji kinakuwa. Ndiyo! Walitaka dunia yote kwanza itumie simu, wakusanye taarifa za kila mtu duniani, wawe nazo, na kweli leo wana taarifa hizo.
Wanataka kumuona kila mtu kupitia simu yake, yaani wajue anafanya nini, unanunua simu yako, ina kamera, masikini ya Mungu hujui lolote lile, kupitia kamera hiyo, wao wanakufuatilia wanavyotaka. Unawapa taarifa zao, leo unasikia Juma Hassani Njiwa anatafutwa, anapatikana haraka sana. Ndiyo maana magaidi wakubwa hawapendi kutumia hizi simu.
Umewauzia taarifa zako, wanazo, hao watu wanashindwaje kukutawala? Muogope sana mtu mwenye taarifa zako zote. Kupitia taarifa hizo, wanajua unasumbuliwa na magonjwa gani, wanajua udhaifu wako ni upi.
Wameruhusu uchoko. Ukisoma kile kitabu cha Illuminati, kuna sehemu waliandika kwamba huo ndiyo ulikuwa mkakati wao namba moja, kuhalalisha ndoa hizo dunia nzima. Na unadhani watashindwa?
Wao wakaamua kuufanya uchoko wa waziwazi huku Uarabuni wakiufanya kwa kificho. Hilo ndilo linalowakasirisha sana hawa watu, wanahitaji kila kona hili lisambae na lisifanyike kwa kificho, na kwa sababu tayari wana taarifa zetu na kila kitu, na kwa sababu wanatulisha, wanatuvisha, wanatutibia, hawana shida kwenye hilo hata kidogo.
Ombea sana mtoto wako wa kiume.
Ukitaka kuyashinda haya kuna gharama yake, ni lazima uingie gharama utake usitake. Gharama yake ni kuwa karibu na Mungu wako tu. Ni lazima umuabudu Mungu wa kweli, ni lazima ujiweke karibu naye.
Ni lazima uamue sasa kutoka kwenye mitandao, ni lazima sasa uamue ujiondoe katika listi ya kutumia dawa zao. Ni lazima upingane na vitu vyao, ni lazima uonyeshe kwamba unaamua kupingana nao, ila utaweza?
Kule Dark Web huwa unapigwa picha bila kujijua, halafu wakifanya tukio, wanaweka picha zako ili ukamatwe ukafungwe. Hao ni wadukuzi ila kwa hizo serikali za watu wabaya, wanachukua taarifa zako kwa ajili ya kuzitumia baadaye, watazitumiaje? Nobody knows.
Kama watu walikudanganya kwa kukwambia dunia inazunguka jua na mawingu ndiyo yanatengeneza mvua, kipi watakwambia usikiamini?
JIOMBEE WEWE MWENYEWE, OMBEA KIZAZI CHAKO