Teknolojia inawafuta CCM kwenye siasa za Tanzania

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Mara kwa mara mitandao ya kijamii inapozuiwa ama Data za mifumo ya internet zinapokuwa chini ya kiwango, mara nyingi hutokea CCM inapojihami dhidi ya kizazi kipya.

Kuna ushahidi wa kutosha kuwa maendeleo ya teknolojia ya habari, yameifanya CCM kupoteana na kuanza kutumia mabavu ili iendelee kutambulika.

Teknolojia imeifanya CCM ionekana ni chama cha kizamani sana.
 
Zile bilioni 2 za "content creators" walizotoa hazijawasaidia mpaka sasa!

Mtu kama Tlaatlaah na bifu lake kwa Lucas Mwashambwa wataisaidaje CCM?

Nasikia Luka kamaindi majukumu anayopewa hayampi umaarufu mitandaoni tofauti na wenzake.
Embu acha kujitekenya na kujichekesha Mwenyewe Utafikiri umelewa Ulanzi Wa Mtuvila au Mtambwe Iringa😄😄
 
Mara kwa mara mitandao ya kijamii inapozuiwa ama Data za mifumo ya internet zinapokuwa chini ya kiwango, mara nyingi hutokea CCM inapojihami dhidi ya kizazi kipya.

Kuna ushahidi wa kutosha kuwa maendeleo ya teknolojia ya habari, yameifanya CCM kupoteana na kuanza kutumia mabavu ili iendelee kutambulika.

Teknolojia imeifanya CCM ionekana ni chama cha kizamani sana.
Na huo ndio ukweli ICT imeifuta ccm absolutely.
 
Mara kwa mara mitandao ya kijamii inapozuiwa ama Data za mifumo ya internet zinapokuwa chini ya kiwango, mara nyingi hutokea CCM inapojihami dhidi ya kizazi kipya.

Kuna ushahidi wa kutosha kuwa maendeleo ya teknolojia ya habari, yameifanya CCM kupoteana na kuanza kutumia mabavu ili iendelee kutambulika.

Teknolojia imeifanya CCM ionekana ni chama cha kizamani sana.
 
Attachments

  • 1000020485.jpg
    1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 13
Mara kwa mara mitandao ya kijamii inapozuiwa ama Data za mifumo ya internet zinapokuwa chini ya kiwango, mara nyingi hutokea CCM inapojihami dhidi ya kizazi kipya.

Kuna ushahidi wa kutosha kuwa maendeleo ya teknolojia ya habari, yameifanya CCM kupoteana na kuanza kutumia mabavu ili iendelee kutambulika.

Teknolojia imeifanya CCM ionekana ni chama cha kizamani sana.
Yaani mnajua kujifurahisha? Kwa taarifa yenu, CCM ina Wataalam wa TEHAMA vijana na wabobezi kweri kweri. Ninyi mmebaki ku fabricate stories halafu mnajiita kizazi cha teknolojia? Ahahahahaha!!
 
Akili siyo umri... Huko wapo vijana lakini wanajifahariisha kujiita machawa😃😀
 
Mara kwa mara mitandao ya kijamii inapozuiwa ama Data za mifumo ya internet zinapokuwa chini ya kiwango, mara nyingi hutokea CCM inapojihami dhidi ya kizazi kipya.

Kuna ushahidi wa kutosha kuwa maendeleo ya teknolojia ya habari, yameifanya CCM kupoteana na kuanza kutumia mabavu ili iendelee kutambulika.

Teknolojia imeifanya CCM ionekana ni chama cha kizamani sana.
Hapi anavaa kijadi eti avute watu wengi Mikutanoni lakini... wapiii....inabidi tu wawasombe na Malori na kuamrisha Walimu wahudhurie....

Heche hata avae T-shirt na Jeans ..Mkutano ni Fire 🔥 tu....
 
Back
Top Bottom