M mkwelitu JF-Expert Member Joined Jun 2, 2026 Posts 773 Reaction score 1,072 Aug 19, 2026 #21 Lucas Mwashambwa said: Jitu kama wewe unapaswa kutekwa tu Click to expand... Tayari, pepo la damu Mwashambwa linadai mtu atolewe afe ili ashibe damu ya asiye na hatia.
Lucas Mwashambwa said: Jitu kama wewe unapaswa kutekwa tu Click to expand... Tayari, pepo la damu Mwashambwa linadai mtu atolewe afe ili ashibe damu ya asiye na hatia.
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 15,568 Reaction score 29,756 Aug 19, 2026 #22 Allen Kilewella said: Teknolojia ni suala la kiulimwengu. Siyo mtu akae Lumumba aweze kuzuia! Click to expand... Walizima mtandao siku 5 wakifikiri wataidanganya dunia walichokifanya siku wamewasha dunia nzima iliona kile walichojidanganya wamekifisha kwa siku 5.
Allen Kilewella said: Teknolojia ni suala la kiulimwengu. Siyo mtu akae Lumumba aweze kuzuia! Click to expand... Walizima mtandao siku 5 wakifikiri wataidanganya dunia walichokifanya siku wamewasha dunia nzima iliona kile walichojidanganya wamekifisha kwa siku 5.
Olmo JF-Expert Member Joined Jun 21, 2026 Posts 1,213 Reaction score 2,198 Aug 19, 2026 #23 Lucas Mwashambwa said: Jitu kama wewe unapaswa kutekwa tu Click to expand... Mko mwishoni sana zama zenu zimeshapita
Lucas Mwashambwa said: Jitu kama wewe unapaswa kutekwa tu Click to expand... Mko mwishoni sana zama zenu zimeshapita