Teknolojia isiathiri utu wetu, Polisi Tanzania msifanye kazi kwa mhemko. Trafiki 2 warudi Ofisini haraka

We are not interested in this !
Mwamba alisemaga Dhahabu na Gesi TUMEPIGWA 😳🙄😱 !!
 
Nakumbuka Rais wa awamu ya tano JPM aliibariki na kuita posho ya kusafisha viatu,lini baraka hiyo ilitenguliwa? Waachwe wajikimu kazi yao ni ngumu sana.
Wanàachwa wala rushwa mapapa huko wanakamata vidagaa sababu wanaweza kuvionea nilipocheck ile video nimegundua aliefanya vile ni mtu anaewafahamu kaamua kuwachoma sasa maisha yenyewe hayaeleweki wakale wapi
 
Wakikutana na Wakili mzuri ile kesi wanashinda asubuhi tu.
Pale hawajasikika wakiomba rushwa! Walikuwa wakiletewa hela na Makonda harafu wanapokea.
Harafu kama ni hivyo hata wale makonda walipaswa kukamatwa na kufikishwa polisi sambamba na hao trafic waliopokea rushwa.
 
Your browser is not able to display this video.
 
PASI NI CHEMBE YA SHAKA , WEWE NI TRAFFIC POLICE😂😂
 
Pia hakukuonekana pesa kwenye video, wanaweza sema walikuwa aidha wanasalimiana na makondakta au walikuwa wanapewa namba za simu😂😂
 
Pia hakukuonekana pesa kwenye video, wanaweza sema walikuwa aidha wanasalimiana na makondakta au walikuwa wanapewa namba za simu😂😂
Na ndivyo itakavyokuwa !
Hata ukiiangalia mara milioni ile video huwezi kuona kama walikuwa wanapeana pesa !
Tunawataka Big fish 🐠 sio small 🎣
 
Mapato ya kuchomwa na jua??? Na mshahara ni ya nini? Kama anaona anachomwa na jua na mshahara haitoshi aache kazi, rushwa ni rushwa tu hata uipe jina gani au hata iwe shingapi.
 
Hakuna kesi hapo !
 
Askari usalama barabarani kupenda rushwa imechangiwa na Samia pale aliposema Kila mtu ale Kwa urefu wa kamba zao.kabla ya Samia Hawa askari walikuwa wazalendo kabisa na hawakujihusisha na rushwa hata kidogo.wakushitakiwa ni huyo aliyewaambia wale Kwa urefu wa kamba zao.
 
Huwezi ukamkamata mpokea rushwa ukamuacha mtoa rushwa halafu ukasema kuwa hiyo ni rushwa wakati mtoaji ndiye anayetakiwa kuthibitisha kama aliombwa rushwa na alichokuwa anatoa ndiyo rushwa yenyewe.
 
Traffic wanatusadia Sana barabarani hata kama wanatuandikia notification ni moja ya kazi zao..
Huyo jamaa aliyerekodi video ni mshamba Tu , kuna matukio mengi yanafanyika barabarani lkn hatuna muda wa kijinga WA kurekodi video.

Kama kila kosa wangekuwa wanatupiga faini watu wasingeingiza magari Yao barabarani, mara nyingi traffic wanakuwa watu wema Sana tena sanaa
 
Hivi tukianza na bi kilembwe pale juu kuna mabilioni mangapi yanapotea alafu tuhangaike na trafic?
 
Hahaha kwa hiyo wasishughulikie wala rushwa kisa nchi iko corrupt, lazima wawe na pakuanzia.
Waanze na mabig fish kule juu ndio washuke huku chini kwenye vidagaa
 
Trafiki hawana mambo mengi
(Wasio trafiki)Polisi wana mambo mengi
Aliyerekodi alitakiwa awarekodi hawa polisi au wanaoitwa wasiojulikana au watekaji
 
Huna akili na hiyo PhD itakuwa ya ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…