Teknolojia isiathiri utu wetu, Polisi Tanzania msifanye kazi kwa mhemko. Trafiki 2 warudi Ofisini haraka

Trafic hajawahi kumlazimisha mtu kuchangia mapato ya kuchomwa na jua ! It is your choices ni ulipe fine ya 30,000 au umalizane nae hapo hapo yote ni sawa.
Undue influence - anakulazimisha kumlipa hiyo elfu 30, ni upende ama usipende.

Uwe umeonewa au la - kujinusuru unaamua kutoa hiyo elfu 2 au 5. Kungekuwa na mahali pa kujitetea unapoonewa, watu wangekuwa hawatoi hizo elfu 3
 
Acha kuipaka mafuta rushwa
 
Kwani kuna mtu aliwalazimisha kuwa mapolisi?

Mbna walimu pia wana kazi kubwa pengine kushinda hata hao askari lakini wakichangisha wanafunzi VIPESA vya remedial classes mnapiga nduru?
 
Takukuru ifutwe. Hawajui majukumu Yao! Hizi rushwa ni kazi mdogo sana kuzidhibiti! Watoke ofisini wakapande bus na fedha zao za moto..traffic police akiitisha hongo apewe na wamkamate. Police Tanzania inanuka rushwa kuanzia juu hadi chini. Nani asiyejua bahasha wanazopelekewa na matajiri wa makampuni makubwa yenye magari barabarani?
 
... 'Mapato ya kuchomwa na jua'... dadeki🤣🤣
 
We nawe! Umeona kabisa kwamba wapo serious? Maigizo tu, keupe kekundu, hao wanahamishwa vituo tu. Kuna askari gani hali rushwa kuanzia baba yao?
 
Kuzurula kwenye Nchi yako ni kosa kwa mujbu wa sheria gani?.
Sijui mambo ya kisheria mkuu ila nimewahi kukamatwa mara kadhaa na kuambiwa mimi ni mzuruaji.
Na siyo peke yangu, watu wengi nimeshuhudia pia wakikamatwa na kuitwa wazururaji.
Huwa nasikia ni kifungo jela nadhani miezi 6 au faini.
 
S
Mapato ya kuchomwa na jua??? Na mshahara ni ya nini? Kama anaona anachomwa na jua na mshahara haitoshi aache kazi, rushwa ni rushwa tu hata uipe jina gani au hata iwe shingapi.
Sawa lakini kupigwa ni kupigwa tu ila kupigwa kofi na kupigwa panga ni vitu viwili tofauti vinavyoleta athari mbili tofauti kabisa. !!
 
We nawe! Umeona kabisa kwamba wapo serious? Maigizo tu, keupe kekundu, hao wanahamishwa vituo tu. Kuna askari gani hali rushwa kuanzia baba yao?
Na bora iwe hivyo maana sisi tunawahofia watoto wao kukosa vitumbua na chai asubuhi !
 
Ushawahi kumtazama muliro usoni kbs na wewe ukaamini anastahili kuwa kamanda? Nchi ilishakosa weledi kitambo tu so mediocre ndio wapo kwenye viti matokeo yake ndo haya
 
Hili jambo limeinbua mitazamo finyu san kwa wa Tz wengi walioandk kutoa thread jamii forum.

Naendelea kuamin kuw kwa akili hiz tutaisubr haki itufate nyumbn na mae deleo.
 
Undue influence - anakulazimisha kumlipa hiyo elfu 30, ni upende ama usipende.

Uwe umeonewa au la - kujinusuru unaamua kutoa hiyo elfu 2 au 5. Kungekuwa na mahali pa kujitetea unapoonewa, watu wangekuwa hawatoi hizo elfu 3
Sisi wengine tumeshughulika na magari miaka nenda rudi mpaka tumezeeka !
Hivyo magari tunayajua vizuri sana !
Magari yasiyokuwa na kosa hata moja na yapo barabarani hiyo ni ngumu sana !
Kama sio kosa la gari litakuwepo kosa la kibinadamu ndani ya gari !
Madereva wengi TZ huwa wanasifiana jinsi wanavyovunja sheria na kuzikwepa adhabu. !
 
Tanzania ni nchi ya hovyo sana kuishi. Yaani mifumo haisomani. Kwa lugha rahisi rushwa ipo nje nje ila muhimu isiwe public. Hata hizo tuhuma hao watuhumiwa wala hawapelekwi popote hizo ni geresha tuu. Maana wanavyokusanya wana target ambayo wamewekewa na mabosi zao. wasipofikisha lengo wanaondolewa barabarani wakasome magazeti makao makuu. au wapelekwe remote huko ndani ndani. Hizo ni amsha amsha ili kuaminisha umma wa watanzania kuwa wamehukumiwa. Na ukizingatia watanzania wasahaulifu baada ya muda tutahamia tukio lingine tusahau kama tuliwahi kuwa na issue kama hii
 
Unaambiwa hayo makusanyo sio yao peke yao, mkuu wako aliekupa hiyo route nae mwisho wa siku atataka umkatie kichache ama lah anakuhamisha anakupeleka kusiko na maokoto.

Hao ni mbuzi wa kafara tu, hata hivyo bila hizo rushwa hamtaingza gari barabarani.
 
Hela ya kuchomwa na Jua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…