Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317

hahahaaaaa....hahahaa nimefurah sana. Ngoja tuanze kuweka picha zetu ndo utajua.
Karibuni Easy TV..hawa wachina hawana longo longo kabisa!

Duh,hilo jina hapo juu lina ulaini hata kidogo!? Au ndo unabembeleza halafu u ng'ate?.
heheheheheeeee 🙂 Rafiki yangu kumbe unanifuatilia ehhh? Hamna ndugu, TING ya ki'Agape ndugu halafu haina quality.duh, umegongelea msumari wa 7'' kwa ting tofauti na nilivyotarajia, wkt mwingine huwa naona namna unavyojenga hoja kule jukwaa dini na kudhani ting ndio wangekuwa best friend wako
Tumia dstv clear channels unaanza kulipia kuanzia 15000/=, star times ni wezi tu, kama Zantel tu
Flora na Angel ndugu au mtu mmoja?
Hapa nafanya kazi mbili..we magumash pia kama hao mara dstv mara easy
ila sishangai ndo sera za kijani kibichi/au easy ya kwenu nini

na wewe kama sikosei mikoba hahahahahahahah

usharudi igunga bwana? angalia wasikumwagie tindikali
Hapa nafanya kazi mbili..
Ya chama na kumlinda mke wangu..
Hawa senior bachelorz wa CDM wanaweza wakambaka mke wangu!
Nikirudi dar nitakuletea Kadi yako ya chama chetu! Huko CDM hapakufai!hehehehe na yeye yupo huko khaaaa

kama kuna ka zygot

lazima katakiwa na kenyewe chichi -em!! af usisingizie cdm kuwa wanabaka
ci juzi mtu wa kijani kibichi kachezea kipigo guest kakamatwa
anaivuruga amri ya 6 ya muumba!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!???????????
sasa we wafanyaje huko kwenye chama cha wabakaji hama huko
Mkuu naomba unijuze kidogo hata sisi tulioko huku mwisho wa Tanzania, Biharamulo tunaweza kupata chanel? huku bila dish ni balaa tupu.Jaribu TING wao wanashare satellite moja na Dstv kwa hiyo unaweza wapata popote pale ulipo ndani ya Tanzania gharama yao ni sh 250000 malipo kwa mwezi zipo akaunti mbili ya 10000 na 22000.

Mkuu naomba unijuze kidogo hata sisi tulioko huku mwisho wa Tanzania, Biharamulo tunaweza kupata chanel? huku bila dish ni balaa tupu.
Hukuangalia vizuri tu mkuu, walitoa tangazo tena waliomba samahani. Nami nilikuwa naisubiri hiyo mechi na nikaona tangazo lao, walisema signal ni mbaya watajitahidi kurekebisha ili siku nyingine kusitokee tatizo tena. Ndio vitu vya bei ndogo tena!Jana badala ya kukasirika nikaishia kucheka, eti wametangaza kuwa wataonyesha mechi ya serie A, saa tatu usiku, nikasubiri weee hadi saa tano, hakuna kitu wala hawakutoa meseji yoyote ya kuomba hata radhi tu! Nimechoka
Hizo nyingine, TING<, EASY etc zinapatikana wapi hasa na zonaonyesha channels zipi? Ukiacha DSTV ambao kidogo wapo ghali ukilinganisha na wengine...hivi DSTV nikilipa elf 15 kwa mwezi, napata na Supersport pia zinazoonyesha soka na michezo mingine ama inabidi kuingia ndani zaidi mfukoni?