Teknolojia ya Digitali ya Startimes na Ting: Kero za watumiaji

Teknolojia ya Digitali ya Startimes na Ting: Kero za watumiaji

Jamani jamani nimekwishawapigia kelele sana humu ndani ya JF hata juzi nimeliongelea hili ndani ya jukwaa la hoja na habari mchanganyiko juu ya huu mfumo wa digitali, kuna mmoja alitokea kunibishia naomba mpitie msome na mtanipa majibu.Kama baba na mama wana watoto wawili wameshindwa kuwatunza ijekuwa kwa watoto zaidi ya kumi watawaweza???.Fikirieni hawajasambaa katika miji na wilaya zote Tanzania wanasumbua hivi kwa mwendo huu tunahubiriwa DIGITALI,DIGITALI wataweza kweli? Angalieni yatakuwa kama ahadi za umeme zinavyobadilika kila kukicha.KAMA NYIE WA MJINI INAWASUMBUA HIVI SISI TUISHIO VIJIJINI ITAKUWAJE!!!!!!!!!!?????????
 
Kama kuna mhusika wa startimes unasoma hapa jua kwamba mnazidi kufukuza wateja na kuwafanya waliotaka kujiunga kufikiria upya,yan mna chanel za ajabu halafu mbaya bado mna taka kuongeza price/kupunguza chanel,yaani nyie OVYO,boresheni huduma ndio muwaige dstv,wale wapo next level

Hawa ni wapuuzi na hawafai kabisa,Hii ni mara ya mwisho kulipia hakuna content ya kulipia 18,000/- ni upuuzi mtupu tena kwa kejeli na dharau anajibu oooh wanoona zinawafaa wanalipia....

Sitaki tena startimes.
 
Bora ya hata wale wengine EASY TV kuliko hawa Startimes yaan ni kichefuchefu
 
Hivi hawa wachina vp? Mbona mm cjaelewa jama? Mana naona chanel zimekata gafla kwani hivo vifurushi vyao vimekaaje? Ni chanel zipi ndo wameziondoa ktk zile za awali? Yani mi sielewi elewi kabisa kama kuna anae elewa anijuze tafadhali....ila hawa jamaa magmash sana
 
wanasema kuna package mbili
moja ya elfu 9 na nyingine ya elfu 18

ya elfu 18 zinaongezeka channel kama sita tu hivi....

bora dstv tu...
 
They are chinese,what do you expect?
OTIS
 
Transformer yao imeteketea kwa moto ndo maana wamekuwa na mgogoro!
 
soon takuwa normal
linii atujui amesema yule kamenejea chao soon tuwewavumilivu
aisee wanajua kweli customer service ameongea kiswahil kama kazaliwa manzese
 
Sisi ni Wadanganyika, tuwe wapole.
 
Startimes yenyewe ya uchoyo tu maeneno ambayo wakubwa wetu wengi wapo ndipo ilipo wakati sehemu zingine watu wanumizwa na DSTV, ndiyo faida za dezo hizo
 
Nauza cha kwangu, nikikosa mtu wa kumuuzia natafuta mtu mwenye shughuli kama harusi hivi ndio nampelekea zawadi
 
Kinachonishangaza ni kuwa wanatangaza kila siku kuwa Live Siri A kupitia KungFuu Tv maajabu chaneli hiyo haionekani!
 
Back
Top Bottom