<br />Nikirudi dar nitakuletea Kadi yako ya chama chetu! Huko CDM hapakufai!<br />
Hapa naipata easy TV..StarTimes huku watu hata hawajui ni mdudu gan!
Kama kuna mhusika wa startimes unasoma hapa jua kwamba mnazidi kufukuza wateja na kuwafanya waliotaka kujiunga kufikiria upya,yan mna chanel za ajabu halafu mbaya bado mna taka kuongeza price/kupunguza chanel,yaani nyie OVYO,boresheni huduma ndio muwaige dstv,wale wapo next level